Nahisi hii ndo ratiba ya jk kuanzia asubuhi mpaka jioni

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Saa 11.00 Kuamaka toka kitandani

Saa 11.10 - 11.40 Mazoezi ya viungo

Saa 11.40 - 12.20 Kuijiandaa na usafi wa mwili mpaka kupiga pamba

12.20 - 1.00 Kusoma magazeti na kupata kifungua kinywa

1.00 - 1.30 Kuangalia news kupata habari mbali mbali

1.30 - 2.00 Kuelekea ofisini na kuanza kuchapa kazi

2.00 - 4.00 Kupata updates za ofisi toka kwa wasaidizi wake

4.00 - 4.30 Tea break

4.30 - 7.00 Hapa anapiga kazi na kufanya maamuzi

7.00 8.00 Lunch break na ka siesta kidogo

8.00 - 10.00 Kupata feedback toka kwa wasaidizi wake

10.00 - 12.00 Hapa napo anapiga kazi na kufanya maamuzi

12.00 - 12.30 Anafunga ofisi na kurudi nyumbani

12.30 - 1.30 Muda wa familia (Mara Riz1 kaja, Mara Miraji sijui na huyu mwengine wa NECTA) pamoja na TV

1.30 - 2.00 anapata maji kidogo kutoa uchovu wa mchana kutwa

2.00 - 3.00 Dinner time ofcoz na TV

3.00 - 4.00 TV na entertainment nyingine

4.00 - 6.00 Anasoma report zote serious zinazohusu mambo ya nchi hii

6.00 - 10.30 Mapumziko kwa ajili ya kujiandaa kwa shughuli za kesho yake.

Lakini kawaida wanaume wote huwa tunakosaga uzingizi kwenye saa 9 usiku mpaka saa 10.30 na hapa ndio wakati mtu unafanya plans za mambo yako. Natumai hata mkulu pia haka kamda huwa anakosa usingizi ukichukulia tena na mambo ya matabibu na kina hawa HOLE LISU.
 
wewe hujaweka muda wa kufikiria ataenda nchi gani hujaweka muda wa kudiscuss migomo NA JE MUDA WA KUFESBUKIKA NA JAMII FORUM
 
Mshkaji hana ratiba kama hiyo mkuu, labda kama unampangia wewe kwa mara ya kwanza, sijaona ratiba za mazishi thats why naipinga ratiba yako
 
Mshkaji hana ratiba kama hiyo mkuu, labda kama unampangia wewe kwa mara ya kwanza, sijaona ratiba za mazishi thats why naipinga ratiba yako

Kwahiyo wewe kwenye ratiba yako ya mwezi ujao umeshapanga utaenda kwenye mazishi sehemu fulani fulani fulani?
 
Back
Top Bottom