Nahisi hadi sasa USA ameshajiandaa kwa lolote na kuna kitu anakitafuta Russia

Mzigo mpya Kwa Ukrain
ukraine_defence-20220618-0003.jpg
 
.....Na hivyo kuwafanya Mujahedeen wafaidi........kivipi sijui.
Acha iendelee kua VIFUSI
Kugeuka VUFUSI hao MAGAIDI WA KINAZI ndio lengo KUU
MAGAIDI poopote walipo hawana haki yakuishi
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Ungekuwa unatumia akili usingeandika huu utumbo, Ukraine sio nchi ndogo na kumbuka misaada ya kijeshi inayoipata kutoka NATO? Assume kama Ukraine isingesaidiwa chochote hii vita ingefika round hii? Ungetumia akili ungejiuliza pamoja na misaada yote Ile kwanini hawawezi kumrudisha Russia kwao?
Wanaoisapot Amerika wengi wao wana mtindio wa akili.
Muulize hivi wale Taliban walipigana na Marekani bila msaada wa taifa lolote tena hata kombati hawana wala buti, wanavaa kanzu na sendo. Sasa kama wangekua na misaada ya silaha na interijensia sijui Marekani pale Afghanistan wangekua na hali gani?
 
Wakati vita ya kwanza ya Dunia inatokea hakuna aliyedhani kuwa vita kuu ya pili ya Dunia itakuja kutokea, Vita kuu ya Dunia ilivyokuja kutokea hakuna aliyetarajia na ilitokea kwa mchezo huu huu wa sasa wa Taifa moja kuvamia mataifa mengine mwishowe vita ikaanza kama mzaha mwishowe ikaitwa vita kuu ya pili ya Dunia

Wakati Russia anaovamia Ukraine alitoa onyo kali kuwa atakayejiingiza kijeshi au kutoa msaada tu atapewa majibu hapo hapo , lakini kwa sasa naona Marekani amekuwa kimbele mbele na hajali vitisho vya putin maana kila kukicha anazidi kumwaga silaha Ukraine na juzi Biden ametoka kuidhinisha kupeleka Ukraine makombora ya masafa marefu kitu ambacho kimemkera sana Putin hadi kufikia kuanza mazoezi ya Nuclear kitu ambacho kinaashiria lolote linaweza kutokea

Huku kunapoelekea vita kuu ya 3 ya Dunia inaweza ikatokea kweli maana kunapoelekea Russia atachoka kutoa onyo, anaweza akatoa majibu mazito au akaitandika kambi yoyote ya Nato kwa makombora mazito mwisho wa siku akawa amejiingiza kwenye vita ya moja kwa moja

USA kwa miaka nenda rudi imekuwa haionyeshi hadharani silaha zake za maangamizi wala haina magwaride ya kuonyesha silaha zake hadharani kitu ambacho kinanifanya nisimdharau, hata Japan wakati anaenda kuivania Pearl Harbour Hakujua kama USA ana silaha za maangamizi na USA hakuwahi kujionyesha kuwa ana sialaha hizo ila Japan alipoivamia Pearl Harbour alijibiwa kwa pigo kali ambalo hadi sasa limecha kovu kubwa

Kwa sasa Putin amekuwa akitishia kuwa ana Nuclear na mda wowote anaweza watandika nazo Marekani na washirika wake , Sialaha ambazo wenzake nao wanazo hayo makombora na marekani hatabiriki maana huwa hana tabia za kuonyesha silaha nzito hadharani, je Putin akiishambulia base yoyote ya Nato kunazia sasa nini kitatokea?

The way Jinsi Russia anavyomuonya USA kila kukicha aache kuimwagia silaha Ukrakne na USA anakaidi basi huenda USA kuna vita anaitaka na ameshajiandaa
Wakati ukiwaza hayo jua London kushaanza kukucha
 
Kama ambavo kimetokea baada ya miaka zaidi ya 20 ya Afghanistan na bado wakaikimbia Taliban. Achen kumfanya marekan kam invisible anakosea mara nyingi...kapigwa kwenye korean war, Vietnam war somalia wenyewe walimtoa povu, halaf mnataka apigane na urusi tena kwenye ardhi ya urusi wenyewe. Usa ataingia kwenye record ya hitler na napolean
Nilisha sema US akiingia vitani na URUSI hakika baada ya miezi michache US ataanza kuhudhuria klinik na kadi la wajawazito
 
Marekani ukizibiti anga lako tu umewamaliza, Tanzania Akipewa S400 tu ,marekani asogezi majeshi.

Sio rahisi hivo. Matumizi ya Drone swams yanaweza kusababisha SAMs na infantry ziwe useless kwenye vita. Tayari vita ya Ukraine imeshaonyesha umuhimu wa Drones kwenye modern warfare.

Hata laser weapons zimebadilisha sana uwanja wa vita kwani unaweza kutuma kombora na likalipuliwa kwa laser beams na lishindwe kufika intended target
 
Back
Top Bottom