Nahisi damu imechafuka vijipu,vipele haviishi mwilini nifanyeje?

Atwoki

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
618
276
Wakuu habari naomba msaada natokwa ni vipele n vijipu kwenye mwili inaweza ikawa tatizo gani au damu imechafuka nifanye nini?
 
Uwe unakula matunda mboga za majani maziwa n. K
Kiufupi kula mlo kamili(balance diet)
 
Tafuta Erythromycin umeze! Ila pia unaweza kuwa na mzio (Allergy) wa kitu ambacho hujakielewa bado! Imenikuta hii.
 
Wakuu habari naomba msaada natokwa ni vipele n vijipu kwenye mwili inaweza ikawa tatizo gani au damu imechafuka nifanye nini?

Pole sana.
Kwa majibu ya uhakika, nakushauri uende hospitali (Kwenye vipimo) huku utaishia kuambiwa una ukimwi, mara tb, mara hili, mara lile na lile.
 
Hakunaga kitu kinaitwa damu kuchafuka mkuu.. ni neno la ki layman had limepitiliza

Ni either unamaambukizi or wateva.damu haichafukag...

Nenda hospitali kapimwe damu hyo
 
Kula habatmuluki iko kama ubale mmoja wa karanga, but ukae karibu na choo, kama huna choo chako mwenyewe usitumie hio kitu
 
We bana kapime mzio (Allergy) kama uko Dar fika Ekenywa pale Magomeni.
 
Back
Top Bottom