Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

Asanteni sana nyote kwa maoni yenu
Niliamua kuongea nae ili nijue zaidi kiundani na kama nikumuondoa aondoke wote tukiwa na amani
Niliamua kumuweka wazi juu ya tabia zake mbele ya mume wangu pia niliamua kumuelezea zaidi vile ninavyojisikia
NiliweZa kumuandalia kila kitu na week iliyopita ameondoka.

Again asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sister mmeo anaonekana msanii, huenda alikaribiana nae hata kwa maongezi ya faragha kama hakupiga.Sasa kwa akili za kijinga hicho kidada kikawa kinaona mko equal,na mume wako akawa anaona noma kukikaripia kikiharibu mbele yenu.Sasa angalia ukileta HG mwingine hakikisha anaijua mipaka strictly, halafu some days mwache akawatembelee wakina Muddy hasa kama ana miaka ishirini na kitu, ili akatoe upweke😃😃.Mtu sio mfugo😆😆
 
Dada niwie radhi naomba nikuite mpumbavu.

Hizi mada nyingine sio za kuleta JF, binadamu tunapenda kulalamika lamika, ile kuonewa onewa huruma. Hivi vipole vya Jf havikusaidii.
We mtimue, mtu anakula kwako, kulala kwako, akiugua ni juu yako badounaleta kauliza kipuuzi unamuonea huruma anategemewa kwao, sasa km anategemewa kwao ndio ajielewe sasa, kwani umemuumba wewehuyo kusema ukimtimua kwako atakufa njaa!!

sasa wewe CHEKA NA NYANI, UVUNE MABUA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Plot twist - Mr wako ashapita nae sasa dada anaona yupo sawa na wewe. Pole kwa ukweli mchungu

Sasa kabla dada hajakupindua kabisa, mpige counterattack, mpindue yeye yani mtoe.
 
Dada niwie radhi naomba nikuite mpumbavu.

Hizi mada nyingine sio za kuleta JF, binadamu tunapenda kulalamika lamika, ile kuonewa onewa huruma. Hivi vipole vya Jf havikusaidii.
We mtimue, mtu anakula kwako, kulala kwako, akiugua ni juu yako badounaleta kauliza kipuuzi unamuonea huruma anategemewa kwao, sasa km anategemewa kwao ndio ajielewe sasa, kwani umemuumba wewehuyo kusema ukimtimua kwako atakufa njaa!!

sasa wewe CHEKA NA NYANI, UVUNE MABUA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sema kimoyo moyo hizi story sio za kuleta JF ila inabidi zilitwe ili JF iwepo.
 
Kwa mimi huyo kesho yake asubuhi angekuwa anafungasha virago.. Wewe inaelekea unaweka biashara yako mbele kuliko ndoa yako.. natumaini hadi leo hii atakuwa alishaondoka.
 
Asilimia kubwa ya wafanyakazi wa ndani hawajielew! Ili uwende nao vzr wanapenda kushurutishwa na kua mkal kwao! Ukimpa uhuru anajisahau anaweza sana hapo solution niku mtimua tuu huyo kashakuwa sikio la kufa usisubili mpk yakukute
 
Nzuri imeishaa hiyoo ukipata mfanyakazj mwingine mwanzoni akiwa na tabia njema lakini baada ya muda akaleta tabia kama za huyo jua Corona ni mumeoo

Hivi hakusema kampa uroda Mr???? Afu ulihakikisha kapanda gari maana mjini hapa.
Asanteni sana nyote kwa maoni yenu
Niliamua kuongea nae ili nijue zaidi kiundani na kama nikumuondoa aondoke wote tukiwa na amani
Niliamua kumuweka wazi juu ya tabia zake mbele ya mume wangu pia niliamua kumuelezea zaidi vile ninavyojisikia
NiliweZa kumuandalia kila kitu na week iliyopita ameondoka.

Again asanteni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uzoefu wangu mdogo binti hawez kuanza jeuri hivyo kama hajaonjwa au hajaoneshwa ishara yoyote na baba mwenye mjengo,huyo inaonesha ameshaliwa na amenogewa sasa anataka kuchonga mzinga! Binti mwenye hisia tu yeye mwenyewe asingekuonesha wewe waziwazi ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifanye zuzu..huku ukimatafuta msichana mwingine..ukimpata tu..kabla hajaja..aaubuhi mtimue huyo...maana anaweza fanya jambo baya..kwako au mtoto. Tena mwambie mr.ili nayeye ajifanye zuzu...apige story bila kuonyesha mshamstukia. Ukienda nae viabaya..atakufanyia tukio ushangae..maana ukiona msichana anasema hovyo bila woga jua kajipanga!
 
Back
Top Bottom