Nahisi ananipenda

Habari zenu wakuu;

Kuna jambo linanipa tabu kidogo, kuna sister mgeni kanisani kwetu amekuja kuungana na ma sister wengine kuendeleza utume.

Sasa kila nikikutana naye huwa kama ananipenda hivi, muda mwingine tunaangaliana kwa kuibia ibia halafu kama tunafurahi hivi.

Sijui ni nini hiki ila mimi nimempenda kweli na nauhakika anajua au hata kuhisi hivyo, sijui naanzia wapi. Kila nikimkumbuka natamani Jumapili ifike nikutane naye, nifurahi.

Wajuzi wa haya mambo naombeni uzoefu wenu.

Huko huwa mnaliwa sadaka tu na mbingu mtaisikia msipo acha dhambi. Kama dini imeshindwa kukusaidia muombe Yesu akupende angalau. Padri haoni huu ujinga nyumba mnasema ya Mungu. Mungu gan anakaa pachafu watu wanawaza uasherati pole. Yesu alikuja kwa ajir yako muite
 
Kuangaliwa s kupendwa, wengne n hulka yao kuwatazama watu uson na kuwapa tabasam.

Kijana acha mihemko, huenda hata anakufananisha. Au n ww unamtazama sana na kutengeneza taswra yakutabasamuliwa kumbe hakuwahi kukutabasamulia, n mawazo yako tu.
 
Mleta uzi hujasema wewe Ni Nani hapo kanisani.
Padre
Muumini
Parish worker?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom