Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 10,986
- 20,401
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Musoma, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 27 jela, Mkami Samo (20), mkazi wa Mtaa wa Lumumba baada ya kupatikana na kosa la kuvunja chumba cha darasa la awali na kuiba madawati na viti vyenye thamani ya Sh395,000, mali ya Happy Athumani.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi
Chanzo: Gazeti la Mwananchi