Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 10,759
- 18,595
Kwa hiyo simba isisajili wachezaji toka west Africa? League zinatofautiana ubora na thamani, hata timu vivyo hivyo.Inawezekana akili zangu sio sawa ila ukweli ndio huo mchezaji mzuri haji huku chini tusijidanganye wale wachezaji wa West Africa mentality yao tofauti wanapigana mbele aje Yanga na Simba? kwa lipi kubwa, acheni kujidanganya kitu kizuri wanabeba juu kwa juu hukohuko.
Hawa vijana wa Mali (sadio Kanoute) na Senegal (Pape Ousmane Sakho) ni wachezaji wazuri wenye viwango bora na vinavyokidhi kuchezea Simba sc.
Wewe unayewadharau ishia hivyo hivyo.