Nahamisha salon kutoka hapa kwenda sehemu nyingine ushauri wako ni muhimu kabla ya action

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,364
1,078
Moja kwa moja kwenye Mada husika. Sifa za eneo hili nilipo Sasa la salon.. Salon nimeinunua mwaka Jana kutoka kwa mmiliki m1 ambaye yeye Hana hakua na miezi mingi.

Pembeni hatua kias cha kutupa jiwe Kuna salon kongwe ya miaka ya zamani Sana. Huyu mtu alieniuzia alikuja weka kama changamoto tu ila yeye Alikua na kazi mbili camera man na video maker

Toka nimeinunua mwaka Jana sijawai fikisha 30000 kwa siku 1 kiwango cha wastani ni 5000 to 20000.

Umeme ulikua wa tanesko changamoto za kukatika kama kawaida nikapambana nimenunua umeme wa solar..

Wazo langu nihamie wilayani mjini kabisa kwenye population kubwa nikapange frame nikaweke hii salon..

Japokua wazo na dhamira haijalenga kwenye wateja kidogo hapana nina plan nikaishi huko nikaanzishe business nyingine.. Natarajia mwezi wa pili mwanzoni nihamishe salon wale wazoefu msaada hapa shukurani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom