Ahadi yangu ya kwanza nia kuanzisha vituo maalumu vya kupima magonjwa ya akili.Haiwezekani hali ngumu ya maisha ya watanzania tuliyonayo bado kuna watu huko Igunga wanashabikia SISIMU.Uwanja wa ndege hamna umeme,sukari bei juu,chai ni kwa mafisadi tu,bidhaaa bei juu,Reli inakufa,shirika la ndege hoi,safari za Raisi zazidi,umeme mgao umeisha yaani wamekata kabisa,maisha bora kwa kila waziri,viongozi ila wananchi hoi,mafisadi kidedea.