Nagombea urais 2015

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Ahadi yangu ya kwanza nia kuanzisha vituo maalumu vya kupima magonjwa ya akili.Haiwezekani hali ngumu ya maisha ya watanzania tuliyonayo bado kuna watu huko Igunga wanashabikia SISIMU.Uwanja wa ndege hamna umeme,sukari bei juu,chai ni kwa mafisadi tu,bidhaaa bei juu,Reli inakufa,shirika la ndege hoi,safari za Raisi zazidi,umeme mgao umeisha yaani wamekata kabisa,maisha bora kwa kila waziri,viongozi ila wananchi hoi,mafisadi kidedea.
 
Umesahau huko Igunga bado kuna watu wanahongwa ubwabwa..mkuu kura yangu nitakupa
 
yangu umeipata......haiwezekani ajali ya mabomu Mbagala kutokea tukaambiwa haitatokea tena wamejizatiti.....kabla hatujasahau vizuri Gongo la Mboto hiyoooo......Mv Bukoba nayo ni hiyo tu haitatokea tena....Mv Spice hiyooo.....dah.....we gombea tu bana.....kama sera yako ni hiyo.....
 
Ahadi yangu ya kwanza nia kuanzisha vituo maalumu vya kupima magonjwa ya akili.Haiwezekani hali ngumu ya maisha ya watanzania tuliyonayo bado kuna watu huko Igunga wanashabikia SISIMU.Uwanja wa ndege hamna umeme,sukari bei juu,chai ni kwa mafisadi tu,bidhaaa bei juu,Reli inakufa,shirika la ndege hoi,safari za Raisi zazidi,umeme mgao umeisha yaani wamekata kabisa,maisha bora kwa kila waziri,viongozi ila wananchi hoi,mafisadi kidedea.
<br />
<br />
kura yangu umeikosa. Raisi gani kazi kulalamika hata husemi utatatua vipi hayo matatizo.
 
Hatutaki kufanya makosa tena itabidi uwe wa kwanza kupimwa akili tujiridhishe kuwa nawe ni mzima.
 
<br />
<br />
kura yangu umeikosa. Raisi gani kazi kulalamika hata husemi utatatua vipi hayo matatizo.
Nadhani kulalamika atakuwa amerithi kutoka kwa Rais aliyemtangulia yaani JK, ambaye naye huwa analalamika tu bila kutatua matatizo ya wananchi, Hadi sababu ya umasikini wa nchi yake anasema haijui kabisa!
 
Back
Top Bottom