Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
dawa hiyo nimetumia KEMIA IFUATAYO
hapo mix # 1+2+3+4+5 = te te te te teh, sifundishi theory nenda kajaribuuuu, N:B ukishindwa ni PM jinsi ya kunipata nikupe maujanja
- PILIPILI + PARACHICHI + NDIZI = msukumo wa usambazaji damu mwilini, kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi, uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana.
- CHOKOLETI + POMEGRANATE + MVINYO MWEKUNDU + MBEGU ZA MATUNDA = uchangamfu mwilini, kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa, kuongeza msukumo wa damu, kuondoa ACID
- VANILLA = Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili
- Pweza na chaza
- Karanga na Asali na kiroba cha konyagi na panadol na ugali wa donaa
hapo mix # 1+2+3+4+5 = te te te te teh, sifundishi theory nenda kajaribuuuu, N:B ukishindwa ni PM jinsi ya kunipata nikupe maujanja