Ndio maana naipenda JF ,ni kama ghulio we sema hivi kumbe kuna mwingine anajua atasema vingine,Shukrani Pasco itabidi namimi niende hapo nikaangalie hayo matofali ,je nyumba ya kawaida sana inaweza kuchukua hayo matofali mangapi,je unajua vipimo vya hayo matofali ,kama unajua tafadhali tujuzePale Mwenge NHBRA wanauza 400 kwa tofali na ukinunua tofali kuanzia 500 and above wanakubebea bure mpaka site yako.
Na hivi haya matofali si ndio yale ambayo hata kama una kalenda, saa ya ukutani, picha ya ukumbusho n.k. hutakiwi kuyagonga misumari ili kutundika vitu hivyo?
Mkuu tafadhali bana kugonga misumari 2011?
Pia kwa sh 400 naona ni bei kubwa kwa sababu itabidi uwe nayo 4 kuwa sawa na tofali la block ambalo linuzwa kwa tsh 800 -900
Wadau nauza/nafyatua matofali ya hydrofoam kwa sh 550 kwa tofali.
Piga namba 0785318248 kwa maelezo zaidi.
Kama huitaji mortar how do you seal the joints/surfaces between adjacent bocks?one standard 9" solid concrete block equals 3.2 vibrated interlocking blocks,kumbuka kwamba ujenzi wa tofali hili hauhitaji cement and sand mortar