nafuuYusuf makamba kukliko Nape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nafuuYusuf makamba kukliko Nape

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ninawi, Nov 27, 2011.

 1. n

  ninawi Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  basi bwana wal;e wajumbe wa halmashauri kuu ya kile chama chetu cha mafiosango wamelichoka vuvuzela lao na kusema kuwa eti linaropoka na halina mpangilio, haivi jamani kwani hataki kuonana na washauri wenye akili timamu na kusaidiwa katika kutoa taarifa, basi alivyojichanganya tu wale wenye akili zao ndani ya chama wamesema aondolewe , au ni kwamba ndo chama chetu, mbona mlianza kumuondoa makamba mkasema anaaropoka sasa ina maana mmetoa afadhali mkaeka potelea mbali. Hebu jifikirieni kwana ili tukubaliane na twende sawa
   
Loading...