Nafurahi sana kuwa mwanachama rasmi!

o_O o_O o_O CHAPUTA!?

Ndio chama gani hcho? ndio mara ya kwanza kuisikia hiki chama.

Kinahusu nini mkuu?

:p :p :p JF bwana...!
Hv huwa mnafikiria nini? Au nyie ndo wale Mshana Jr anawaita "GREAT SINKERS"

Asante kwa reception mwana CHAPUTA ngebo
 
Alvin A. ... Shee! hifi kumbe mimi nahangaika leo siku ya tatu natafuta mali yangu kumbe imeiba wewe? hifi imepata wapi hyo ng'ombe sangu?

Engelay dwoo atejo, nitatuma jeshi langu almaaruf kam NYANGULO waje kufanya pulesheni kabambe huko mijini maana hao ng'ombe mlionao huko ni wa kwetu.

pulesheni = Operation (in maasai pronounciation)

Asante kwa ukaribisho pia.
Tapala!!
 
Asante kwa ukaribisho mkuu Watu8 huwa na-appriciate sana uwepo wako kwenye jukwaa fulani.

Ila... mi tangu nifike hapa mjengoni siulizwa natumia kinywaji gan...

Waweza kunihudumia?
 
MLEVi Mmoja said:
Yeyoo

Nakalaito nakalaito sumata

Mkuu sijakuelewa...
Mwambie anayekufundisha akaze buti, bado sana kuongea hcho kilugha.

Asante kwa reception pia.
 
MLEVi Mmoja said:
Nifundishe mkuu
Ashinaleii = Ashe naleng'

Ashe = Shukrani/Asante
Naleng' = sana

pia waweza sema "Ashe tukul"

tukul = sana

kwa hyo neno "sana" waweza kutumia kwa kusema "tukul" ama "naleng"

Karibu tena.
 
Back
Top Bottom