Nafurahi kuona vija wengi wa kitanzania wanajikita katika suala zima la mambo ya cybersecurity

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
349
Points
250

rootadmin

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
349 250
Nafurahi kuona vija wengi wa kitanzania wanajikita katika suala zima la mambo ya cybersecurity, kwani ndo ulimwengu tunao ishi sasa.

From leader and C.E.O @ TaNzAnIaN-HaCkErS.!
 
Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,650
Points
2,000

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,650 2,000
1.Ungejaribu kunisaidia kwa nisiyekuwepo katika ulimwengu huo uzuri ulioko huko
2. Nifanyeje/Hatua zipi za kufuata ili niwe huko
3. Kuna kozi maalumu kwa vyuo vyetu huku au mpk ukomae na tutorial za udemy
 
the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,411
Points
2,000

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,411 2,000

Vipi mkuu course za udemy,cybrary au pluralsight zimekusaidia?, sema kuna course zingine kama CEH zile ni za online vilevile course kama OSCP pia ni za online na gharama zake sio mchezo, ila hata Hapa UDOM wanafundisha General IT na infoSec everything yani asee Networking,Cryptography,Programming,Data Structure,Algorithm,Ethical Hacking,Hacker Techniques,Database etc
Sema ukitaka kuwa mzuri kwenye IT na InfoSec anzia kwenye Certificate au Diploma then unaenda kupiga degree yako maana kuna jamaa zangu walitoka form vi wako mwaka wa kwanza UDOM wanauona Moto wa Code wakati mtu aliepiga tokea certificate anaona kama sio uchawi
 
Niwe mkweli,
Bado sijawa serious katika hili mkuu.
Courses nimejikuta nimejaza videos na vitabu wakati sijatenga muda mzuri wa ku practice.
Hapo udom nimesoma general it by 2014/15 sema mambo yamekua mengi na vipaumbele vinapungua japokua nikiona hizi issue nakuwa motivated tena.
Nina amini nitarudi kundini muda si mrefu.
 
the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,411
Points
2,000

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,411 2,000
Niwe mkweli,
Bado sijawa serious katika hili mkuu.
Courses nimejikuta nimejaza videos na vitabu wakati sijatenga muda mzuri wa ku practice.
Hapo udom nimesoma general it by 2014/15 sema mambo yamekua mengi na vipaumbele vinapungua japokua nikiona hizi issue nakuwa motivated tena.
Nina amini nitarudi kundini muda si mrefu.
Ulipiga degree?
I hope upo fresh kwnye C, Cpp,java script,python na Database kama ni hivyo jiunge na Offensiv Security Cyber Proffesional course ya online ipo fresh sana ukitoka hapo unakua fresh sana
 
Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,650
Points
2,000

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,650 2,000
Nilisoma short courses tu hapo na ku opt baadhi baadhi.
Sijasoma degree.
Ulipiga degree?
I hope upo fresh kwnye C, Cpp,java script,python na Database kama ni hivyo jiunge na Offensiv Security Cyber Proffesional course ya online ipo fresh sana ukitoka hapo unakua fresh sana
 
Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,650
Points
2,000

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,650 2,000
Dah hapo itabidi urudi chuo tena ukapige vitu muhimu kma programmming,database,networking,cryptography etc ili uwe mzuri
Chuo kwa ngazi ipi chief?
Kuna mtu amenishauri kuwa sio lazima kurudi chuo.
Bali ni jitihada na kukomaa na courses + assistance kutoka kwa wanaofahamu hizi ishu na guidance nzuri.

Nipe maoni yako katika hili pia.
 
the great wizard

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2015
Messages
1,411
Points
2,000

the great wizard

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2015
1,411 2,000
Chuo kwa ngazi ipi chief?
Kuna mtu amenishauri kuwa sio lazima kurudi chuo.
Bali ni jitihada na kukomaa na courses + assistance kutoka kwa wanaofahamu hizi ishu na guidance nzuri.

Nipe maoni yako katika hili pia.
Yeah watu wa cyber security wapo vizuri sana kwenye networking,cryptography,programmingand batabase kama una idea hivo vitu unaweza chukua course online maana kule kwenye practical unaambiwa uandike script ya python alaf ujui kitu ndo maana nilikwambia uwe na muongozo kidogo toka mwanzo, kama utaamua kurudi chuo piga degree kama sifa zinaruhusu nenda Udom au Unique Academy
 
Kaparo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2013
Messages
1,650
Points
2,000

Kaparo

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2013
1,650 2,000
Yeah watu wa cyber security wapo vizuri sana kwenye networking,cryptography,programmingand batabase kama una idea hivo vitu unaweza chukua course online maana kule kwenye practical unaambiwa uandike script ya python alaf ujui kitu ndo maana nilikwambia uwe na muongozo kidogo toka mwanzo, kama utaamua kurudi chuo piga degree kama sifa zinaruhusu nenda Udom au Unique Academy
Asante kwa ushauri mkuu.
Nitakucheki nikihitaji mwongozo kwa wakati.
 
Forum statistics

Threads 1,392,805
Members 528,696
Posts 34,118,388
Top