Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 644
habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..!
nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza utaratibu wa kuregister kampuni hapo brela na pia nimeshaanza kununua vifaa vya radio taratibu.
sasa kichwa kinaniuma sana kila nikifikiria ni mkoa gani niiweke hii radio....mi ni mwenyeji wa mkoa mpya wa simiyu lkn kwa bahati mbaya sijui mazingira ya huu mkoa,na kwa sasa makazi yangu yapo nje ya Tanzania(UK)
hivyo kwa wale ambao wanaielewa vizuri hii mikoa naomba ushauri wenu ....natanguliza shukrani kwenu