Nafungua kesi wiki ijayo kama shabiki wa Kanumba kuomba Jamhuri ichunguze sababu za kifo chake

Wakuu hii kesi ya kuomba jamhuri ichunguze kifo cha Steven Kanumba upya itahusisha mashabiki na vyombo vya dola vitatoa ushirikiano wote na tutapenda kila aliehusika afikishwe kwenye mkondo wa sheria na jamhuri iutangazie umma chanzo cha kifo ni nini?
 
Mkuu wazo lako zuri lakini sina hakika kama umedhamiria au umekuja tu kutuzuga, Lulu atusamehe tu lkn kama shabiki ningependa kujua nini kilitokea. Me nilitegemea ile movie yake ya foolish age mwishoni angeweka lile tukio la Kanumba halafu ndo akaenda jela lkn hakufanya
 
Dhamira na maandalizi yashakamilika kabisa.
 
Jamhuri itatoa mwongozo wa uchunguzi kupitia vyombo vya dola lakini tutarejelea pia kesi ya msingi ambayo tayari mahakama imeisikiliza.
 
Duh mmeanza na Majizo now Lulu hata Le mutuz naona ametoa hint kwamba kuna bint amesahau kuwa yupo nje kwa dhamana anatukana watu!!!kisasi kinafanywa na watu dhaifu
 
Back
Top Bottom