Nafundisha ujasiliamali wa mafuta ya kujipaka kwa kutumia nta ya nyuki.

matemabi

Member
May 2, 2017
61
125
Ni mafuta bora na ya asili ambayo hayahusishi kemikali ya aina yoyote ile. Watu wengi wanapenda yatumia na yanamatokeo mazuri hata kwa watu wenye ualibino, michubuko baadhi ya magonjwa mengine ya ngozi.

Nafundisha ujasiriamali huu kwa gharama ya sh 20,000/= tu...Hiyo ni kwa nadharia.
Na sh 50,000/= kwa vitendo,
Gharama hizi zinahusisha na maligafi zitazo tumika kufundishia.

Nipo kigoma kwa sasa kuanzia tar 20 mwezi huu nitakuwa dar.

Tuwasiliane.
0625471779.
 

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,019
2,000
Nikikupa iyo hela unifundishe utalipa KODI YA MAPATO kama utalipa ntakupigia unifundishe nianzishe ka kiwanda, sijui kwa nini MAGU hawachukui watu kama ninyi na awawezeshe ili muanzishe viwanda.
 

matemabi

Member
May 2, 2017
61
125
Nikikupa iyo hela unifundishe utalipa KODI YA MAPATO kama utalipa ntakupigia unifundishe nianzishe ka kiwanda, sijui kwa nini MAGU hawachukui watu kama ninyi na awawezeshe ili muanzishe viwanda.
Kwakweli swala la kukata mapato kwa ujasiliamali huu sijui lipoje, mie najiona level yangu bado ndogo kama wauza urembo mtaani unaweza nambia waendaje kulipa kodi!?. Kama kuna indirect ways ambayo serikati inakata hiyo pesa hakuna shida. Wacha tuchangie maendeleo ya nchi.

Me nadhani La muhimu kwanza tufikie lengo. Natafuta pesa nikupatie elimu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom