Nafundisha Pre Form 5 kwa gharama nafuu

Jan 15, 2020
1
45
Habari mimi ni vijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza kidato cha sita mwaka jana kwa mchepuo wa PCB na kupata ufaulu mkubwa. Ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2019-2020, hivyo nimekuwa nikikaa tu nyumbani nisijue cha kufanya.

Kwa hiyo kwa kipindi hiki ambacho nasubiri application za vyuo hapo July nimeona n bora nijitoe kusaidia ndugu zangu wanaotarajia kwenda kujiunga na elimu ya advanced mwaka huu kwa gharama nafuu kabisa nitamfuata mwanafunzi popote alipo ndani ya wilaya ya Temeke au Ilala ndani ya jiji la Dar es salaam ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom