Nafundisha na ninauza MS PROJECT PROGRAM

buffaro89

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
592
378
Habari za ndugu.

kama nilivyo ainisha katika kichwa cha habari hapo juu.
ninauza Ms Project Package pamoja na jinsi ya kuitumia Program hiyo, katika kuanzisha na kusimamia miradi mbali mbali yaani Project Management- microsoft Project, kwa aliye na uchu wa kuijua huduma hii zaidi basi aje PM, tuzungunze.

nawasilisha.
 
Wataalamu huwa hatuuziani vitu vidogo vidogo kama hivi. Watalaamu tunashare ideas tuu.
Ujuzi unabadilishana na mwenzio tuu.

Hiyo jitolee tuu mkuu Mungu atakujazia maradufu ujuzi mwingi
 
inategemeana, kama upatikanaji wake ni bure!kwanini niuze! lakini kama upatikanaji wake ni ghari,na inauzwa! kwanini nikupatie bure!
 
Back
Top Bottom