NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Nimeipiga na samsung s7 ambayo ndo nimekwambia inatoa vimwanga vya notification..sijaipiga na iphone,maana nsingeweza kwakuwa targeted ilikuwa yenyewe hiyo iphone so i had to take pic with samsung galaxy s7 edge na tena giza ndio limesababisha yote hayo
aidha ulikuwa hujatulia wakati unapiga picha au kamera yako ishaharibika hio maana hata maandishi hayasomeki kwenye picha uliyoweka

yani picha hii hata nokia e51 yangu ya 2009 ina unafuu, huenda umeuziwa ethi 7 sio s 7 mkuu 🤣..
 
aidha ulikuwa hujatulia wakati unapiga picha au kamera yako ishaharibika hio

yani picha hii hata nokia yangu ya 2009 ina unafuu, huenda umeuziwa ethi 7 sio s 7 mkuu 🤣
😂😂awa ngoja nirudie tena ni kweli nilimove wkt napiga.S7 haijawahi kuniangusha mkuu ni moja ya chaguo langu ktk android
 
Nimesoma kote, nilipofika kwamba ukiangusha au kuibiwa simu unapoteza kila kitu kwenye iphone. Nikajua kweli wewe hufahamu unayoongea. Nani alikueleza hii maneno
i cloud inakupa gb 5 bure na hii ndio wabongo wengi wameizoea, sasa vuta picha una files zako gb 200 huko, zitatosha huko i cloud ?

ukiwa na memory card yako unahamisha fasta tu unaitunza hata chini ya mto, simu ikiibiwa bado una nakala ya mafaili yako
 
kwa style hii utafata mkumbo bila reasoning kama watumiaji wa haifoni
1. Hata samsung s22 na nyingine high end android phones hazina eearphone jack. Kama kawaida uwa akianza iPhone anapondwa hadi na samsung wenyewe nao baadae wanafuata.
Aliacha kuweka charger akapondwa nao wakafuata.
2. Unasema huwezi kufanya multi tasking kwenye iPhone, mkuu umewahi kuitumia au unasema tu?
3 Kuhusu apps, hivi ni bora kuwa na nguo chache lakini za maana au kuwa na bag la nguo nyingi hata ambazo hazina maana yani ukiivaa ukajitazama kwenye kioo unaivua. Ndivyo playstore ilivyo. Ina apps nyingi ambazo unaistall unakuta haifanyi hata walichosema inafanya unaiondoa. Kwasababu ni rahisi kuweka app playstore wakati istore wanamchakato serious.
4. Mwendo wa kustream ndio maana kuna maspotify na stations ziko kwenye mtandao.
5. Kuhusu kujailbreak, hata android kila toleo anakaza nati ili simu iwe ngumu kuroot. Android 11 au 12 sio sawa na android 6 hata kuroot si kawaida au rahisi. Ipe miaka 3 mbele utaona atakavyokaza kabisa.
6. Shida mkuu unasahau kuwa iPhone anatoa simu ambazo ni highend tu, ni kwa miaka ya hivi karibuni ambapo ametoa simu midrange hizi SE. So ukicompare simu zake highend compare na bei ya samsung ya mwaka huo.
Pia hata midrange anaweka processor ya highend. Mfano SE ya mwaka huu ina A15 bionic chip ambayo ndiyo chip yenye nguvu kwa sasa na ndio iko kwenye iPhone 13.
Natumia android kwa sasa, ila iOS ni habari nyingine.
Jinsi inavyofanya kazi, ilivyo smooth, vitu vinainteract, ecosystem ya apple, yani safi kabisa.
 
1. Hata samsung s22 na nyingine high end android phones hazina eearphone jack. Kama kawaida uwa akianza iPhone anapondwa hadi na samsung wenyewe nao baadae wanafuata.
Aliacha kuweka charger akapondwa nao wakafuata.
Android ni mbuga yenye simu nyingi sana, Samsung akiringa unahamia kwengine, zipo simu nyingi sana
2. Unasema huwezi kufanya multi tasking kwenye iPhone, mkuu umewahi kuitumia au unasema tu?
iphone kwa multi tasking ni mzigo, labda kama unamaanisha ku minimize screen ya youtube huku unatumia fb🤣🤣
3 Kuhusu apps, hivi ni bora kuwa na nguo chache lakini za maana au kuwa na bag la nguo nyingi hata ambazo hazina maana yani ukiivaa ukajitazama kwenye kioo unaivua. Ndivyo playstore ilivyo. Ina apps nyingi ambazo unaistall unakuta haifanyi hata walichosema inafanya unaiondoa. Kwasababu ni rahisi kuweka app playstore wakati istore wanamchakato serious.
sizitaki mbivu hizi

1648414038951.png

4. Mwendo wa kustream ndio maana kuna maspotify na stations ziko kwenye mtandao.
tatizo unaishi mjini, huko vijijini kuna sehemu network ni changaamoto sana huwezi kupata internet kabisa, kwa lugha nyepesi hutaweza kusikiliza redio
5. Ipe miaka 3 mbele utaona atakavyokaza kabisa.
Sawa, endelea kusubiri 🤣🤣
Mfano SE ya mwaka huu ina bionic chip ambayo ndiyo chip yenye nguvu kwa sasa na ndio iko kwenye iPhone 13.
chip ya nguvu ya nini wakati hata multi tasking tu shida
Natumia android kwa sasa, ila iOS ni habari nyingine.
kaa kimya wewe, mziki wa android umeukubali 🤣🤣 karibu kwenye chama kubwa
 
Android ni mbuga yenye simu nyingi sana, Samsung akiringa unahamia kwengine, zipo simu nyingi sana

iphone kwa multi tasking ni mzigo, labda kama unamaanisha ku minimize screen ya youtube huku unatumia fb🤣🤣

sizitaki mbivu hizi

View attachment 2166498

tatizo unaishi mjini, huko vijijini kuna sehemu network ni changaamoto sana huwezi kupata internet kabisa, kwa lugha nyepesi hutaweza kusikiliza redio

Sawa, endelea kusubiri 🤣🤣

chip ya nguvu ya nini wakati hata multi tasking tu shida

kaa kimya wewe, mziki wa android umeukubali 🤣🤣 karibu kwenye chama kubwa
Iphone ni multi tasking unless kama mara ya mwisho umetumia iPhone 3gs.

Yes, android kila toleo anakaza. Hata sasa toleo la kuanzia android 11 amezuia hata app kuaccess baadhi ya mafile ya OS ambayo hapo kabla ziliweza kuaccess.
Zamani ulikuwa unainstall tu kiapp unaclick click faster ushaeroot simu. Sasa rooting is not as easy as it used to be.

Yes, ni mbuga yenye wanyama wengi wakubwa na wadogo. Ndio maana nimekwambia ukitaka compare na iPhone kwenye hiyo mbuga chagua highend phones za android uzicompare na iPhone ya mwaka husika kwa bei.
Usije compare sijui Xiomi midrange ya laki tisa na iPhone 13.

Sasa hapo ndipo unakosea, iPhone haikalenga kwenye hilo soko la watu wanaoishi sehem hata network hakuna. Sasa kama network hakuna, why ununue smartphone in the first place? Kumiliki smartphone wakati internet hakuna si bora urudi kwenye torch.

Yes A15 bionic ni the most powerful prpcessor kwa simu as of now. Iko kwwnye iPhone na kama ulitumia iPhone 3gs, hebu jaribu sasa halafu urudi hapa useme kama iPhone sio pure multi tasking.

Na mwisho ni kutaarifu tu, ukiachana na watu ambao wanasubiri miaka ndipo wamiliki hizi simu, watu wengi wanaoafford kununua hizi simu sio watu wa customization. Hata kwenye android watu wengi hata ukiwauliza kuhusu rooting hawajui na wanaojua ni wachache wanaoroot wakafanya la maana out of rooring.
iPhone wanaipenda watu ambao wanapensa kutumia vitu direct kama vilivyo bila kufanya customization. Mmoja wapo ni mimi, nna zaidi ya mwaka nna simu ya android, lakini hata sijaifanyia customization ya aina yoyote hata kuweka ringtone ya wimbo sijaweka. Niko hivyo.
Hata ukikutana na watu wanao afford kununua highend smartphones mfano s22 ilipotoka tu, ni wachache utakaokuta wameziroot na kuweka micustomization ya ajabu ajabu.
Premium users hawanaga mambo hayo.

Na mwisho kabisa, sijui kwanini android users uwa wengi wanakomaa kujicompare na iPhone users wakati ni mara chache iPhone users kujicompare na android users.
Hata zamani Apple alikuwa hacompare products zake na products za wengine. Ilikuwa na toleo jipya dhidi ya toleo lake la zamani. Enzi za steve jobs ilikuwa kama vile other phone manufacturers don't exisist.
 
Mm sio iphone user na wala sijawahi kuzipenda ila mengi uliyoyataja apo yapo pia kwa android...mfano flagships nyingi za android sa hv hazina radio, hazina sd card expansion,hazina earphone jack(samsung wameenda mbali zaidi wametoa mpk kwny midranges zao), price ya Iphone 13 pro max na S22 ultra they match toe to toe,pia nimetumia highends nyingi za samsung hazina hzo radio...ifike mahali kila mtu abaki na OS yake anayoiamini sio hz useless attacks zisizo na msingi!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Mm sio iphone user na wala sijawahi kuzipenda ila mengi uliyoyataja apo yapo pia kwa android...mfano flagships nyingi za android sa hv hazina radio, hazina sd card expansion,hazina earphone jack(samsung wameenda mbali zaidi wametoa mpk kwny midranges zao), price ya Iphone 13 pro max na S22 ultra they match toe to toe,pia nimetumia highends nyingi za samsung hazina hzo radio...ifike mahali kila mtu abaki na OS yake anayoiamini sio hz useless attacks zisizo na msingi!

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
zipo simu kibao za High end kwa android, Samsung akitoa wenzake wanaweka.

Android ni mbuga yenye simu kibao, sio lazima kutumia samsung.

huku android hakuna mayanyasio kama ya iphone ambae akiamua kutoa kitu flani kwenye simu hakunaga wa kumbishia.
 
Rooting inafanyika bado, tutorials kibao zipo youtube, labda kama wewe hujui kufata maelezo

hio iphone 13 bado haina memory card, bado haina customization, bado haina radio, bado haina alwys on display,,,, hata android y laki 4 inamkmbiza iphone 13 hapa.

ya nini sasa kama hata multi tasking ni jipu

wewe umeingia vichwani mwao kujua hilo ??

unarudia kosa lile lile, hebu acha kuwasemea watu , umeingia vichwani mwao ? wapo watu hali za uchumi ni mbaya wanajibana bana wananunua iphone zilizoumika, hawa ni mapedesee ?

Ishu ni kwamba unanunua mzigo ambao utaamua mwenyewe ufanye unachotaka, hakuna mambo ya kubanwa banwa

mbona unaandika mara nyingi hii sentensi, kanywe maji naona ume paniki

Labda huwa unajibana kutumia youtube, battle ya android vs iphone ni moja kati ya vitu vinavyofatiliwa mno na pande zote mbili, kwa ambao tumebahatika kufika ulaya tunajua jinsi watu walivyo obsessed na haya mambo,


mpaka ufanye jail break 🤣🤣
1. Sasa nimegundua kuwa hujawahi kutumia iphone ama umeitumia zamani sana. iOS ilianza kuwa multi tasking kuanzia iOS 4.0 back in 2010.
Ikaja kuwa pure multitasking baada ya kuanza kutumia 64 bits processorsna ilipotoka iOS 6. It seems you are living in the past the future will never find you.

2. Ebu nitajia highend flagship phone ya android ambayo ina sehemu ya kuweka memory stick kwa sasa? Usinitajie flagship za zamani, nitajiw flagship za kuanzia 2021.

3. Saaa kama mpaka ukaangalie mitortorial, na bado kuna threads kibao za kuuliza na kulalamika kuwa wameshindwa kuroot humu which means wanazidi kukaza. Hiyo ni same road kama ilivyo iOS maana before jailbreaking was easy ila day after day ikafungwa mpaka now imefungwa kabisa. Android inaenda kuwa closed tu kama iOS ndio maana kila toleo rooting inazidi kuwa ngumu. Na nimekuuliza, mbona huongelei now android kulimit apps kuaccess baadhi ya folders za system? 🤣🤣

4. Sijaingia vichwani mwao ila ndivyo ilivyo. Nadra sana kumkuta mtu anayeafford kununua gari la mils 300 ukakuta amelipimp na kulibandika ma spoilers, ila sasa mwenye alteza sasa, amelibandika ma stickers, sijui spoilers, sijui takataka gani. Same hata kwenye simu. Watu wanaoafford kununua simu za dollar 800+ hawana hayo mambo ya customization.

5. Wanaoleta hizo battle ni watumiaji wa android, ni kama vile hawajiamini wanajifeel vizuri kwa kujicompare na iPhone.

6. Nishakujibu kuwa iOS ni multitasking wewe unapotosha watu sawa na wale wa vijiweni wanaosemaga iPhone kwanza apps zote zinauzwa 🤣🤣 kumbe hata kuitumia hajawahi.

7. Unajua, product za Apple watu wanazipenda sio kwa sifa moja, bali as a whole package. Apple ni mzuri wa kuchanganya design, performance, simplicity, ecosystem.
The result of both inakupa kitu safi kabisa.

Sasa unakuta wengine simu inasifa mbili, mfano ina kamera kali, ina storage kubwa lakini kwingine hovyo.
 
Kweli aisee samsung s7 edge yangu hutoa mwanga wa blue meseji ikiingia wakati simu ikiwa kwenye sleep,pia taa ya kijani hujulisha missed call,na blue bahari uashiria text za whatsap ..lakini pia nina iphone 12 pro max nilikuwa nalinganisha baadhi ya vitu kutoka kwenye uzi huu nkagundua ni kweli unayosema aisee🤣

View attachment 2166424
Xiaomi redmi note 10 nazo hazitoi mwanga wa notifications
 
Watu weusi sisi tuna shida sana..
Mngejua Samsung wanaingiza hela ndefu kwa kufanya biashara na Apple kuliko kuuza hizo simu zao..

80% ya hardware za Apple products anauziwa na Samsung..

All in all simu ni simu tu, kila mtu na mahitaji yake, ila hua nawaonea(ga) huruma sana baadhi ya watumiaji wa iPhone wanavyo hangaika, nakubaliana na mtoa mada wengi wanatumia kwa mikumbo..
 
Back
Top Bottom