NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Umaskini mbaya sana inaweza fika hatua unaona kula nyama ni hakuna kitu bora ule dagaa ukitumia kigezo cha kuwa zote ni mboga
Iphone na sumsung hakuna simu bora zaidi ya mwenzake isipokuwa ni preference ya mteja tu chukulia mfano s23 utra vs iphone 14 pro max
 
But inafanya kuwa rahis kwa third park kuzihack. Is why iphone si open source, source code si publick, why? Wamefocus kwenye ulinzi wa os zao zaid

Nani anaweza kuhack simu ya android akashindwa iphone!!!!

Hili swala "kuhack" linarahisishwa sana.

Kuhack upate access ya kifaa husika na data za mhusika wa mwanzo sio swala jepesi kama linavyoandikwa.
 
Kwa upande wangu ni umasikini wangu tu, ila nilichogundua simu zote za bei kubwa zipo sawa kwenye ubora, ukinunua simu zetu hizi za promotion Tecno za laki 2-3 ndio zinaganda na kusumbua lakini iphone 5 inazipita simu nyingi tu za kisasa kwenye performance

Hivo basi, hoja yangu ni kwamba katika simu za makampuni yote ambazo dukani zinaanzia laki 7 hakuna inayosumbua, Tecno za bei kubwa zipo vizuri, mtu unapata kitu kulingana na budget yako
 
Back
Top Bottom