Nafuatilia mafao hapa NSSF lakini hawanipi mafao yangu

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Nafuatilia mafao hapa nssf ni balaaa..wanachama wanalalamika bupigwa tarehe ..kuna mdada alianza kufuatilia mafao take tangu mwezi was saba mpaka Leo decembar..hajapata ninini hiii jamani?
 
Hakuna pesa mkuu,

Pesa zote zilielekezwa kwenye budget,

Endelea kusoma number,

Hivi umeshastaafu samahani lakini.
 
Kweli mkuu.na ni nor staff was nssf wawaeleze wanachama wao ukweli maaana ni disaster kwenda mbele
 
angalau nssf wanatoa na kupanga tarehe.. ila ppf ndio hata tarehe hupewi
 
Pesa zote tumenunulia ndege.

NSSF ni kitega Uchumi cha Serikali.

Hivyo kama una 'vipesa' vyako huko usivingie bajeti, watu wana na miaka wanafatilia tu pesa zao wanachoambulia Kulazwa kwa Presha.
 
kumbe mmeanza kufuatilia "juzi" tu. Vuteni subira maana ninawafahamu wastaafu kadhaa wana zaidi ya miezi 12 hawajalipwa chao PSPF
 
PPF, NSSF NA PSPF mifuko yote hii imeingiliwa na siasa ndo tatizo kubwa bora kidogo LAPF ambako bado kuna onekana kuna uhai kidogo.
 
Ila pia tusilaumu tu hii mifuko HAILIPI kama michango yako haikukamilika hivyo waajiri pia huchangia sana katika hilo.
 
Back
Top Bottom