Nafuatilia kesi ya uchaguzi Kenya, kuna kila dalili ya kuwepo uchaguzi wa tatu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,426
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
 
hehehe
wabongo mpo idol sana
 
Hapo ndipo CCM watakaposema tusibadilishe katiba kuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, kwa sababu tutakaribisha uchaguzi kurudiwa rudiwa kama Kenya.
 
Wakikubali kurudia watakuwa wamekubali kuteketeza uchumi wao wenyewe. Hii kesi lazima hukumu yake iangalie mazingira.
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"

Acha kuota wewe jana NASA walikataliwa sehemu ya hiyo kesi hivyo huko Supreme court NASA hawana mwakilishi ambaye ni active. Labda waende kama observers tu
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
Utakua utoto huo sasa!
 
hilo tulilitegemea maana uchaguzi wa marudio ulikuwa na kasoro nyingi na za wazi kuliko ule wa kwanza.
 
nikirefer ile kauli ya Kenyatta siku anapewa cheti kua anaamini hatorudi tena pale na kujitokeza kwa CJ kupiga kura uchaguzi hauwezi kufutwa!
 
True, very idol as you can see they are experts in everything Kenyan and naïve in anything concerning their Country.

Rudi darasani nyang'au.[/QUOTE]
You idol worship anything Kenyan to a point of searching and discussing devotedly on anything about us 24/7.
Njoo nikufunze darasani.
 
Wenzetu wakenya kama ilivyo kwa nchii nyingi za kiafrica imepitia magimu Mengi ya kijamii, lakini hawakuwahi kuitomasa elimu yao, ila sie hapa kila waziro anakuja Na Sera Na mipango yake Na wala haulizwi, ilw elimu aliotuachia mkoloni iko miguuni tumebaki matabaka matajiri wanasoma kwa kizungu, masikini kw a kiswahili, alafu aliyetufikisha hapa tumamjua, ila kama hatotokea mtawala Wa kumsema adhalani Na watu wakamjua kisha kushukuru Na kumsamehee, hatutakuja kufikia Marengo ya kielimu.
Sie tumechezea Shule fullstop.
 
Back
Top Bottom