Nafuatilia kesi ya uchaguzi Kenya, kuna kila dalili ya kuwepo uchaguzi wa tatu

Mleta mada lini utajaribu kujadili mada zako kitaalam kwa manufaa ya wanaJF.
Hebu lete sababu zako kwanini unahisi uchaguzi utarudiwa, na kwa taarifa yako NASA walishatupwa nje ya kesi hii maana haiwahusu.
 
nikirefer ile kauli ya Kenyatta siku anapewa cheti kua anaamini hatorudi tena pale na kujitokeza kwa CJ kupiga kura uchaguzi hauwezi kufutwa!
mbona ule wa kwanza waliapisha hadi magavana na pia walishuhudia kenyatta akipewa cheti cha ushindi na bado wakaufuta ndio sembuse sahvi???
 
True, very idol as you can see they are experts in everything Kenyan and naïve in anything concerning their Country.
stop ur nonsense for once! dont u think we should be alert about the petition because once u start slaughtering each other because of ur tribalistic ignorance dont u think it might affect us too?? i mean refugees inflowing to Tz?? or jeopardising Tanzanian interests ???

acheni dharau nyie na nmefurahi magufuli kawanyoosha na this tym mkileta fyokofyoko atawachinja na maukabila yenu shame on u
 
stop ur nonsense for once! dont u think we should be alert about the petition because once u start slaughtering each other because of ur tribalistic ignorancey dont u think it might affect us too?? i mean refugees inflowing to Tz?? or jeopardising Tanzanian interests ???

acheni dharau nyie na nmefurahi magufuli kawanyoosha na this tym mkileta fyokofyoko atawachinja na maukabila yenu shaame on u
 
stop ur nonsense for once! dont u think we should be alert about the petition because once u start slaughtering each other because of ur tribalistic ignorance dont u think it might affect us too?? i mean refugees inflowing to Tz?? or jeopardising Tanzanian interests ???

acheni dharau nyie na nmefurahi magufuli kawanyoosha na this tym mkileta fyokofyoko atawachinja na maukabila yenu shame on u
Hold your horses man...hapa Kenya hata hatufuatilii kesi hapo supreme Court typo kazini vipi wewe uko idle hivi na mambo yasiyokuhusu? Jenga nchini yako nijenge yangu.
 
Hold your horses man...hapa Kenya hata hatufuatilii kesi hapo supreme Court typo kazini vipi wewe uko idle hivi na mambo yasiyokuhusu? Jenga nchini yako nijenge yangu.
kwani kuchapa kazi ndio huangalii TV?? kma unauza duka na kuna tv ndani huwezi angalia kesi au akili yako inakutumaje??

eti mnajenga nchi! ipi hiyo ya people's republic au ile ya wakikuyu??? mnajenga nchi wakati mmejaa ukabila kila mtu anaangalia interest ya kabila lake ndio mnaita nchi??

i wish al shabaab warudi tena waanyooshe naona chamoto hamkukipata....... anyway best wishes kwenye uchaguzi wa 3 :D:D:D
 
Ni kupoteza tu Pesa za walipa kodi hadi wa kumi Uhuru atashinda tu,kwani nao wanataka kuisoma namba
 
kwani kuchapa kazi ndio huangalii TV?? kma unauza duka na kuna tv ndani huwezi angalia kesi au akili yako inakutumaje??

eti mnajenga nchi! ipi hiyo ya people's republic au ile ya wakikuyu??? mnajenga nchi wakati mmejaa ukabila kila mtu anaangalia interest ya kabila lake ndio mnaita nchi??

i wish al shabaab warudi tena waanyooshe naona chamoto hamkukipata....... anyway best wishes kwenye uchaguzi wa 3 :D:D:D
Kwani TV zenu ziko tuned na steshen za hapa Kenya ama Hanna lingine kwenye Runinga za LDC?
 
Kwani TV zenu ziko tuned na steshen za hapa Kenya ama Hanna lingine kwenye Runinga za LDC?
Kwahyo umeskia apart from ur election drama ili tuone vituko vya uchaguzi unaochukua mwaka mzima na post election violence ya kuchinjana kisa ukabila wat else tunaweza angalia TV za kenya???

nchi haina lolote mnajisifia mmeendelea wakati TZ hakuna maslums kma ya kwenu kibra au watu kufa njaa kma huko kwa wasomali!!!! mtakalia maukabila mpka kiama shame on u
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"

Unaonekana hata hujui unachoangalia! NASA aio petitioner anawekaje mawakili!? Mavi ya kuku kabisa wewe
 
Ni faida tupu kwa kampuni za kusambaza vifaa vya uchaguzi. Japo zinaonekana zimesajiliwa Dubai na kwingineko but I'm sure Ni za wanasiasa wa Kenya wanaendelea kuvuta mpunga
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"

Ni vigunu kumridhisha kila mtu.
Uongozi saa nyingine lazima ubabe kiasi utumike,
Naamini Uhuru na Ruto wanajua jambo sahihi la kumaliza mzozo km hiyo.
Wakimsikiza na kuheshimu sana CJ maraga nchi hata tawalika.
 
Wakikubali kurudia watakuwa wamekubali kuteketeza uchumi wao wenyewe. Hii kesi lazima hukumu yake iangalie mazingira.
Na ikitokea hivyo inabidi IEBC washitakiwe kwa kuhujumu na kuteketeza uchumi. Kama hawako competent kwa nini wanakubali kusimamia uchaguzi?

Vv
 
Back
Top Bottom