Nafuata cheti changu chuoni Mwenye kunipa connection ya shule ya private

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Wakuu Sasa ni wakati wa kukiishi kile nilichokua nakisomea ndani ya miaka 20 above! Kwa Sasa biashara Zina ukakasi Sana nimetafakari Sana nimeona heri Kua na kazi japo ya salary ndogo tu ili biashara ikifeli unakua na PA kuinuka.

Kimsingi sikua na duku duku na kazi nilipomaliza chuo mwaka Jana niliingia mtaani na focus ya bishara tu lakini kwa Sasa naona kila dalili ya kufeli business

Hebu nifuate cheti nipate japo na PA kuinukia!

Samahani Mwenye connection ya shule ya private anicheki pm nipo serious nafuata cheti iringa masomo yangu ni English Geography. Level degree Nawasilisha,
 
wazee mnadhambi, haya sasa mzee wa kusawazisha kakimbia ID yake
 
Back
Top Bottom