Nafsi zinawasuta: Mnatambua uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki. Mnacholilia ni kukosa Wabunge

Kwa hila,unyanyasaji,wizi na udhulumati utawala wake ulianguka vibaya. Mabavu na ukali havikuweza kuinua uchumi wa nchi Bali vilizorotesha na kufanya maisha ya watu kuwa magumu mmno.

Ameingia kwenye historia kama rais wa hovyo kuwahi kutokea kuharibu maisha ya watu,nchi take na mahusiano ya nchi take na dunia kufikia kusababisha chama chake kupasuka vipande!!

Ukatili na ubabe haukuweza kuunganisha watu na kujenga nchi huru yenye amani,furaha na maendeleo endelevu!! Hili limekuwa funzo kwa wananchi wote pamoja na viongozi kuwa Mungu hadhihakiwi...huwezi kujionesha kuwa wake huku unatesa na kukandamiza watu wake kwakujipa umwamba.

Changu wa mawapi! nawenzio mtaisoma hii 2025, mtaelewa na mtabadili akili zenu fupi!!kwasasa endeleeni na uzwazwa
 
Lisu alishinda ila mliiba kura. Ushahidi ni mabox ya Kura yalishikwa yameshapigwa Kura kwa ccm. Pia rough mlizofanya kumzuilia baadhi ya mikutano eti kivuko ni kibovu Kule ukerewe na figisu kibao ambapo mlikuwa mnamwohgopa Sana lisu. Media zote mlizielekeza zisitoe matangazo yake lakini bado watu wanamtafuta na kujaaa kumbi. Mlikuwa mnaja mikutano kwa kuwalazimisha wanafunzi wa secondary na msingi pi a wafanyakazi wote wa serikali kuja kihudhuria ilib justify wizi baadae.

Mawakala wa upinzani mliwatoa nje wasione kinachohesabiwa. Wengine mliwateka na kuwaua.
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi...
 
HATUSAHAU
Zilikamatwa wapi mzee baba?
View attachment 1640521View attachment 1640522View attachment 1640523View attachment 1640524View attachment 1640525
Screenshot_20201029-061237.jpg
 
Pimba tu hii
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.

Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi kumhukumu kipofu kwa wizi wa gari hata kama ulimkuta kwenye usukani na gari la wizi liloibwa umbali wa km 50.

Chadema walizoea chaguzi zote kuwa wao lazima watapata wabunge, safari hii wamekula wa chuya. Ni wazi kwa urais walijua hawawezi kupata kiti hicho hata kwa dawa. Lakini je walisahau kuwa hata kwenye ubunge walitia mchanga kitumbua? Walikitiaje wanajua wao tokea 2015 siasa za BongoTz kubadilika.

Sasa kukosa ubunge ndio sababu ya uchaguzi kuwa sio huru na haki? Hapana hata kidogo. Nini hasa kulialia na kuomba dua mbaya kwa nchi yenu? Kwani lazima muwe wabunge? Hamuwezi kulima mpunga? Hamuwezi kuchimba madini? Ubunge sio ajira kama mnavyotaka iwe.

Kukosa ruzuku ndio mnataka na nchi yenu ikose msaada wa tril 2 ambazo hutoka kwa mafungu kwa miaka nne? Ok ikikosa mnafaidika na nini? Ndio mtapata ubunge? Ukweli ni kuwa mligeuza ubunge mtaji wa ruzuku na ajira kwenu sasa umeyeyuka kuweni wapole.
 
Wamekosa ubunge au wamekoseshwa ubunge ?!. Haya mmepata 99.4% ya wabunge , tuwe kama ulaya basi !!. Haiwezekani

Mngejua mnataka hizo trl 2 , basi hamkutakiwa kuwadhulumu . Majimbo ni mengi sana mliodhulumu kwa maelekezo . Undeni na huo upinzani fake
Kuhusu ubunge, walitoswa. Bil tril 2 zinatoka kwa awamu miaka 4. Sioni kama ni ishu kubwa. Jambo ambalo mnataka kulitumia kama pledge ni upuuzi kabisa.
 
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.

Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi kumhukumu kipofu kwa wizi wa gari hata kama ulimkuta kwenye usukani na gari la wizi liloibwa umbali wa km 50.

Chadema walizoea chaguzi zote kuwa wao lazima watapata wabunge, safari hii wamekula wa chuya. Ni wazi kwa urais walijua hawawezi kupata kiti hicho hata kwa dawa. Lakini je walisahau kuwa hata kwenye ubunge walitia mchanga kitumbua? Walikitiaje wanajua wao tokea 2015 siasa za BongoTz kubadilika.

Sasa kukosa ubunge ndio sababu ya uchaguzi kuwa sio huru na haki? Hapana hata kidogo. Nini hasa kulialia na kuomba dua mbaya kwa nchi yenu? Kwani lazima muwe wabunge? Hamuwezi kulima mpunga? Hamuwezi kuchimba madini? Ubunge sio ajira kama mnavyotaka iwe.

Kukosa ruzuku ndio mnataka na nchi yenu ikose msaada wa tril 2 ambazo hutoka kwa mafungu kwa miaka nne? Ok ikikosa mnafaidika na nini? Ndio mtapata ubunge? Ukweli ni kuwa mligeuza ubunge mtaji wa ruzuku na ajira kwenu sasa umeyeyuka kuweni wapole.
Sawa. Sasa kwa nini mnalazimisha chadema iwe na wabunge bungeni?
 
Hivi ni nani anayelazimisha watu kuingia kwa nguvu bungeni ili wawe wabunge wa Chadema? Ni Chadema au ni Ndugai na rafiki zake ambao ni SISIEM, DIPIPI, TISS?
 
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.

Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi kumhukumu kipofu kwa wizi wa gari hata kama ulimkuta kwenye usukani na gari la wizi liloibwa umbali wa km 50.

Chadema walizoea chaguzi zote kuwa wao lazima watapata wabunge, safari hii wamekula wa chuya. Ni wazi kwa urais walijua hawawezi kupata kiti hicho hata kwa dawa. Lakini je walisahau kuwa hata kwenye ubunge walitia mchanga kitumbua? Walikitiaje wanajua wao tokea 2015 siasa za BongoTz kubadilika.

Sasa kukosa ubunge ndio sababu ya uchaguzi kuwa sio huru na haki? Hapana hata kidogo. Nini hasa kulialia na kuomba dua mbaya kwa nchi yenu? Kwani lazima muwe wabunge? Hamuwezi kulima mpunga? Hamuwezi kuchimba madini? Ubunge sio ajira kama mnavyotaka iwe.

Kukosa ruzuku ndio mnataka na nchi yenu ikose msaada wa tril 2 ambazo hutoka kwa mafungu kwa miaka nne? Ok ikikosa mnafaidika na nini? Ndio mtapata ubunge? Ukweli ni kuwa mligeuza ubunge mtaji wa ruzuku na ajira kwenu sasa umeyeyuka kuweni wapole.
Kwani ni nani aliyesababisha tukose hayo matrioni ya hela? Hamkujua masharti ya kupata hayo matriolioni ya hela? Au mmekumbuka shuka kukiwa kumekucha? Sasa mnahaha kuapisha watu vichochoroni na kuwalazimisha wawe wabunge. Hovyo kabisa nyie. Sasa ndio mnaona umuhimu wa Chadema na wapinzani kwa ujumla.
 
Hayo mabox yaliingizwa Tanzania nzima, ndio unachotaka kusema!?
Zilisambazwa kura feki sio maboksi.mawakala hawakupewa barua za kuwatambulisha wakifika kwenye vituo unaombwa barua,unaambiwa barua ipo kituo fulani fuata wakati zoezi limeanza.ukitoka Kura feki zinaongezwa.sijui huko mlitumia mninu gani Ila Tunduru.wakiongeza Kama hazitoshi hakuna kutangaza mpaka polisi wafike anatangazwa wa sisiem
 
Mahala popote kwenye maisha ya binadamu lazima uwe na uwezo mkubwa wa kureason ili uweze kufanya maamuzi. Na kila mara mara good reasoning huleta majibu sahihi.

Ndio maana kuna baadhi ya maamuzi na kesi hufanyika kwa kufanya reasoning tu na kisha hakimu au jaji anatoa uamuzi. Mfano huwezi kumhukumu kipofu kwa wizi wa gari hata kama ulimkuta kwenye usukani na gari la wizi liloibwa umbali wa km 50.

Chadema walizoea chaguzi zote kuwa wao lazima watapata wabunge, safari hii wamekula wa chuya. Ni wazi kwa urais walijua hawawezi kupata kiti hicho hata kwa dawa. Lakini je walisahau kuwa hata kwenye ubunge walitia mchanga kitumbua? Walikitiaje wanajua wao tokea 2015 siasa za BongoTz kubadilika.

Sasa kukosa ubunge ndio sababu ya uchaguzi kuwa sio huru na haki? Hapana hata kidogo. Nini hasa kulialia na kuomba dua mbaya kwa nchi yenu? Kwani lazima muwe wabunge? Hamuwezi kulima mpunga? Hamuwezi kuchimba madini? Ubunge sio ajira kama mnavyotaka iwe.

Kukosa ruzuku ndio mnataka na nchi yenu ikose msaada wa tril 2 ambazo hutoka kwa mafungu kwa miaka nne? Ok ikikosa mnafaidika na nini? Ndio mtapata ubunge? Ukweli ni kuwa mligeuza ubunge mtaji wa ruzuku na ajira kwenu sasa umeyeyuka kuweni wapole.
Una sound kama zulumati mkubwa.Unajaribu kueleza kiufundi wakati unajua in wizi mtupu wakutumia silaha.Ona mmeiponza nchi had I kuingia kwenye matatizo ya kufungiwa kufanya biashara na Ulaya.Hizo ndege mtanunua wapi.vitu vingine vya ushabiki mpaka mnaangamiza taifa
 
Chadema ni chama cha watu wa aina mbili: wenzetu wanokubaliana na mwenyekiti na wasaliti wasiokubaliana na maagizo ya mwenyekiti.
Kesi za usaliti chadema zimekuwa ni nyingi sana kuliko kesi za mafanikio.
Wanahitaji kuffanya vetting ya viongozi wao kupunguza hilo, hizo ndo bakora zinazotumiwa na chama dola.
 
Una sound kama zulumati mkubwa.Unajaribu kueleza kiufundi wakati unajua in wizi mtupu wakutumia silaha.Ona mmeiponza nchi had I kuingia kwenye matatizo ya kufungiwa kufanya biashara na Ulaya.Hizo ndege mtanunua wapi.vitu vingine vya ushabiki mpaka mnaangamiza taifa
Ahaaaa,tumefungiwa na ulaya biashara? Kama ni ndege mbona kuna Bombardier mpya inakuja mwezi huu?
 
Back
Top Bottom