Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

Sijui huwa wana madawa hao wezi Yani akili kuja kushtuka badae kabisaaaa ilhali unakua unaona unasikia na sometimes wewe mwenyewe ndo unawapa


Cc Smart911
 
Nimechukia sana kwanini nimesoma huu uzi.


Huyo mwizi ningemmwaga meno yote bila kumwambia sababu ya kumpiga mpaka atoe pochi kwenye boxxer yake na kuirudisha mwenyewe alipoiiba.

Wanaume wa Dar lini mtajirekebisha jamani??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom