Nafikiria kuwekeza Zanzibar

Sina hakika kama Muungano wetu ni endelevu kuweza kumshawishi mtu kutoka Bara kubeba risk ya kuwekeza Zanzibar. Labda kama ni kitu cha muda

Ni kweli kabisa, sio muda wakujiachia kabisa, nikukaa kimitego mitego tu
 
Kama nilivoandika. Nahitaji kujua FURSA
itategemea zaidi na uwezo wako wakifedha, Kuna fursa maeneo ya utalii kama kuingia ubia kwenye hotels, kufungua mikahawa.
Na kwa maeneo ya mjini Pia Guest Houses nayo ni fursa nahisi hazitoshelezi kabisa.
 
Njoo na biashara za nafaka.au viazi mbatata ila njoo utafute connection kwnz kisha utakuwa unauza kwa jumla kwa bei rahisi ili uwe na mzunguko...

NB; Wafanyabiashara wengi wanafanya hii biashara huku zenji, so jiandae na ushindani pia.
 
Nataman ningekupa info hata kidogo, sema niko kwenye majukum na mvivu kuandika maandishi marefu.
 
Habari mdau.!

Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri.

Pros and Cons
Upatikanaji ardhi(beach Au inland)
Service Demands
Challenges.

Nitashukuru sana.
Anzisha biashara ya kitimoto
 
Mm nipo Zanzibar kikazi Nina miezi mi3 Sasa ukihitaj kuwekeza vzur wekeza kwenye chakula mchele huku kwasiku kilo 200 unauza wanapenda Sana kingine pia kwenye maswala ya utalii Ila huko mtaji uwenao na biashara za mavazi huku kuvaa ghali Sana jeans elf 25 huku kingine pia huku pesa ipo asikutishe mtu huku pesa ipo Kaka karbu
 
Back
Top Bottom