Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,499
12,158
Wana jamvi salaam,

Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala), siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.

Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2, nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu.

Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima. Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka, ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu. Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :

Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
.
.
.

Mrejesho March 17, 2022
Mwaka jana nilipoleta uzi huu alipojifanya hana hamu nami niliamua kumsusia for about a week alipoonyesha kuhitaji nikasusa nikageukia upande wa pili, usiku ulikuwa mrefu kweli, siku ya pili alipoonyesha kuhitaji uzalendo ukanishinda nikasema ah mwanaume asusi , bac baada ya hapo nikaamua kumweleza kuwa wiki 2 halafu hata hamna tendo ni kujikomoa wenyewe , sio afya katika ndoa, akakubali bac ikawa at least twice or thrice a week and I was fine about it .
Sasa Kimbembe kimekuja from February to this March, yaani kama vile amejisahau tena, yaani only once a week tena lazima nimbembeleze weee kama vile unamtongoza upya tena kitandani , (kwa kifupi nadhani ndio yeye anaenjoy kubembezwa) as if mimi ndio nina shida saana ya sex,
Sasa 10 days ago tukatoka out tukaenjoy kweli , on top of that while tupo kwenye mtoko nikapata habari nzuri ambayo for sure it has changed my career in a very positive way, kwasababu niliikuwa naipigania hiyo opportunity since January.
Kwa kweli tulifurahi sana, nilitegemea usiku utakuwa mzuri , dah sasa tumefika home, mara hataki kama kawaida yake, bac mzee baba nikasema acha nimbembeleze, dah ikawa kama vile namlazimisha ikafika point nikahisi kama vile nambaka yaani anakunja sura kama vile nini , hata haijaingia yaani dah , nikamuuliza kwani shida nini mbona siku tumeanza vizuri mbona unaharibu , akasema we tufanye tu , nikajaribu kuendelea yaani jamaa chini kanisaliti hajainuka tena yaani kama yeye ndio kasusa( for first time I attempted to have sex ikatokea hivyo) , bac nikamwambia babe tulale tu.
Kesho yake kadi nyekundu siku 4 zikapita , sasa kwa kuwa nilikuwa nimeboreka nikaamua yaani huyu chumbani simgusi tena , yaani jioni baada ya kurudi kazini tutapika tutakula, akisema oh kichwa kinauma sijui uchovu, mimi jibu langu mpenzi usijali ule ulale mapema, tena sometimes nikawa nampikia kabisa , akiingia kulala tu , mimi naangalia TV hadi saa 6 usiku.
It was hard ila nikasema hii experiment lazima niitimize.
Sometimes tumkimaliza kula tu nawahi kitandani akija najifanya nakoroma mbaya .
Though niliona kama vile amestukia plan yangu.
Mimi ni mashabiki wa wapiga mizinga wa London sasa jana nikaona acha nikaone chama langu maana wanaupiga mwingi kweli,
Mechi vs Majogoo ilikuwa saa tano usiku, nikaona sasa ngoja nikaangalie kibanda umiza , maana hata umuhimu wa kulala mapema home hamna.
Saa sita kasoro simu inaita oh uko wapi , nikamwambia nipo nacheki boli, dah nikaona poa acha niende home, dah nikakuta mtu huko na presha juu "oh umeondoka usiku hujaniambia ,naye sasa akaamua kufunguka , akahisi nimetoka kwa mchepuko, mara naona kama mapenzi yamepungua, kwa vile sijamgusa wiki mbili almost , sio kawaida, na Finally akasema ubize wa kazi yake amejisahau kumbuka mimi nipo" nikaona ohooo nimeharibu, but I was glad kuwa ameona makosa yake,
Cha msingi ujumbe amepata kuwa na mimi naweza kupotezea na wanaume tukiamua kumpotezea mke hatuchelewi kutia mimba mtu huko .
Nilichojaribu kumuonyesha ni kuwa pamoja na kuwa mimi sijapata mchepuko ila inawezekana kabisa na sababu anaweza akawa ni yeye kwa 50%.
Finally usiku uliisha vizuri tu , akizingua tena , nitalala nje one night hadi aelewe somo.
Ila mimi kuchepuka sioni ni suluhisho.
 
Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, kwa wiki tendo mara 1 au 2 au 3 hapo kajitahidi (tena kila wakati mimi ndio nakumbushia, yeye wala) , siku nyingine inapita wiki 1 hadi siku kumi.
Ukiishi na mke ndani ndio utaelewa kwanini Waisilamu waliambiwa wake 4 ruksa, hapa ningekuwa na mke wa 2 , nisingekuwa naangalia dari juu usiku huu .
Tena hapa hatuna mtoto hivi je akizaliwa katoto si nitapigwa benchi mazima.
Nilikuwa nawashangaa wanaume wanaochepuka , ila leo naelewa kuwa sometimes wake zao ni moja ya sababu.
Huwa najitahidi kuepuka vishawishi nje ya ndoa ila sasa naona soon yatanishinda.

Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »
Mkuu kwenye chama chetu Cha mabaharia usije ukatafuta mchefuko, tafuta mchepuko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom