Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Mkuu fanya mambo yafuatayo kama ulikua hufanyi. Uwe una msapriz na vizawadi mfano unatoka mshemshe unamletea chocolate, bikini, siku unamletea gauni, viatu aisee mbna utapewa Tunda bila kuomba. Kuna sehem utakua unamkosea kaa nae chini mwulize utapata soln, kuchepuka sio dili unaweza chepuka na akili yote ikahamia huko ukasahau familia.
 
Wanaume wengi ndiyo tunawataka hawa na mwishowe tunaanza kulilia tumechapiwa.
Kuna wanawake ukipiga, akaridhika inaweza chukua hata siku 3 au 4 ndiyo akapata hamu tena.
Ukiwa na mwanamke anapenda sex kila siku (japo ndio ulevi wangu) jua ya kwamba ukisafiri tu hata siku tatu atakuwa na kaimu mume wakati ww upo kwenye mitikasi yako
 
Wanawake huwa wanatikisa kibiriti, mke wangu was like that. Usipomuanza hata week mbili zinaisha bila sex.

For sure I am addicted na sex so Siku tatu kwangu ulikuwa msiba wa nyegezi kuvuka ukomo.

Nikapata ushawishi wa anko shetty nikatafuta mchepuko nilikaa three months respectively sijamgusa Siku alianza kulalamika wewe sio bure utakuwa unamwanamke. Simply tu nilimuuliza kwa nini unahisi hivyo akasema sio kawaida yako nikihesabu tangu last we had sex is almost three months. Nilimwambia sikutaka nikusumbue maana niliona kama unachoka sana kazini hivyo nilikuwa nasubiri Siku ukisikia hamu uniambie ila sina mchepuko.

Hakuamini alilamika sana Siku ile mpaka I felt guilty. Though nilikuwa tayari nimeshakuwa na michepuko kama mitatu hivi hivyo issue ya kulala na nyegezi kwangu ilikuwa historia.

Baadae nikaona isiwe kesi dini inaniruhusu ngoja nivute wa pili. Hapo ndio niliona raha ya ndoa Kwenye suala zima la sex. Nikienda zamu upande wowote hakuna ninayemuanza bali wao ndio wanaanza basi nitakamuliwa mpaka tone la mwisho .

Ila bado ninachepuka . Kwa kesi ya mke wako kinachotokea ni mazoea tu huku akiamini she is one and only kutokana na mkataba wa ndoa yenu na kanisa. Ila kungekuwa na chance kama huku kwetu angebadilika tu.

Kama unaweza na wewe jaribu kukaza zipite hata week mbili usimguse uone kama hajaanza kulia wivu.
 
Why didnt you marry your ex. Curiosity isije ikanidedisha.

Wana jamvi salaam,
Naona huyu shemeji yenu majukumu ya chumbani yamemshinda, .

Real Confession :
Kwa wiki 3 sasa nimemkumbuka my ex girlfriend aisee hadi namuota kila siku , it has been 6 years toka tuachane ila nikiri tulikuwa na « a very good chemistry together on bed »



Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom