Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,886
Sion mantiki ya kuendelea kukatwa mshahara wangu kuwalipa posho na mishahara watu (wasaliti) walioko katika vyama hivi na ni bora nijitoe tu.
Hata Mei Mosi ya mwaka huu siwezi kupoteza muda wangu kwenda kuwasikiliza hawa wasaliti na wageni wao na ni bora nikae zangu nyumbani nifanye shughuli zangu zingine kuliko kupoteza muda kwenda kuwasikiliza watu wanaotuupuza na kutufanya wafanyakazi kama midoli ya kuchezea.
Unapita na bang lako kubwa wakati mwenzako rohoni mweka anakuone kama chizi uliechanganyikiwa na hata habari nawe hana na akitoka hapo kila kitu kinaishia uwanjani.
No wonder kuna watu wanataka hata TLS iongozwe na watu wao