Nafikiria kugombea ubunge Chalinze - Yericko Nyerere

wewe ki.la.za acha kuni'quote kwenye upumbavu wako

Teh teh teh!

Mtoto najsi! Unakasirika kuambiwa unagombea ubunge km huyo mwenzako!
Kwani hakuna wabunge wanyonga viuno km wewe!?

Acha hasira na matusi! Utakuja kujifungua siku si zako!
 
Mkuu Invisible mbona nyuzi zinakatika ovyo!?
Vipi mitambo huko ofisini haijakaa sawa??

Manake naona malue lue tu!
Au hii inatokea kwenye nyuzi za rusha roho tu kama huu??
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na hao wakwere wa chalinze, hasa kule msoga mkuu ww nchi qnakowauzia maziwa lita 500.

Cha ajabu ni kuwa hata kijiji alikotoka presida watu wake ni wa hali ya chini mnooooo.
 
wewe ki.la.za acha kuni'quote kwenye upumbavu wako
kahtaan na mimi naomba niongeze mtoto mwengine wa kufikia,

Mtoto wangu mwingine wa kufikia nikiongeza kwa yule the Invisible ni huyu Remote,huyu nae ni mtoto wangu wa kufikia,

Lakin si unajua tena mambo ya mathanaa??hawa wote ni kila mtu na mama yake,wote watoto wangu wa kufikia
Ritz faby wabara CHAMVIGA BOKOharam Tayeb na wengineo,huyu remote akiwasumbua baba yake nipo,niiteni tuh nimpe radhi
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!

Mtoto najsi! Unakasirika kuambiwa unagombea ubunge km huyo mwenzako!
Kwani hakuna wabunge wanyonga viuno km wewe!?

Acha hasira na matusi! Utakuja kujifungua siku si zako!

Mkuu kahtaan mimi naona na huyu Buchanan nae atafutiwe wa kufikia kama ulivyompata na wewe wa kwako Matola

Mimi wangu mwingine ni Remote nimeongeza,ila ni mama tofauti na yule mwenzake,mambo yetu ya mathnaa haya,raaha mustarehe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kahtaan mimi naona na huyu Buchanan nae atafutiwe wa kufikia kama ulivyompata na wewe wa kwako Matola

Mimi wangu mwingine ni Remote nimeongeza,ila ni mama tofauti na yule mwenzake,mambo yetu ya mathnaa haya,raaha mustarehe

Mkuu THE BIG SHOW nimekusoma huku mbavu si zangu!
Teh teh teh teh!
Umeamua ku adopt mwana mnyonga viuno km huyu Remote!
Duh!
Una roho ngumu sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom