Nafikiria kubadili Jina baada ya Harusi yangu CharmingLady,

harusi ya jamaa tolu wa makufuli na mchumba mzuri ? daaaah jamaaa leo anakula buzeri kwa halali kabisa

umeona dia, fasta fasta bana na sie tule kihalali kha? Chimbuvu usisahau kuchukua kumbukumbu hapo harusini. najua umesahau camera bt hata hako ka-techno kako katafaa kupata picha kadhaa ili tuige
 
Last edited by a moderator:
Sikiliza MtotoSix.Ukishaoa ina maana wewe ni mtu mzima sasa-Kwa hiyo utakuwa Adult. Na unaoa mwaka huu 2012. Kwa hiyo jina zuri nakubatiza ni Adult2012. Waonaje charminglady ukaitwa Mrs Adult2012?
 
Last edited by a moderator:
charminglady sijambo mamma leo nimeamkia kazi mapeeeema, za ofisi mpenzi my wife
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom