Nafikiria kuanzisha Mradi wa Daraja Kawe beach- Mbudya

blessings

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
7,420
7,080
Kufuatia kukamilika kwa mradi wa daraja la kigamboni na kutaarifiwa huenda ukawa unaliingizia shirika la NSSF milion 23 kwa siku (23m × siku 30 = 690m, nami nimewaza kuanzisha daraja la kutoka Kawe Beach mpaka kisiwa cha Mbudya ili kiwe kitega uchumi changu mpaka nikistaafu. Je wachumi, wanasheria hili nalianzaje?

DEMAND: Watalii wanaoenda Mbudya kubarizi upepo (badala ya kutumia boti sasa watatembea kwa miguu au kwenda na magari yao pia na Waganga wa kienyeji kwenye shughuli zao huko kisiwani.
 
Back
Top Bottom