Jodeo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 1,286
- 1,326
Sikuhizi Uswazi zinalipaMilioni 20 ni ndogo,
Sheliving to vifaa vya kufanyia kazzi kama system etc ni kama 7-15M na zaidi kutegemea na aina ya eneo.Mambo ya kodi leseni etc so kwa aufupi jipange kuwekeza zaidi ya hapo .Angalizo.Usiweke supermarket uswazi weka sehemu yenye watu wa middle income
Asante kwa ushauri. Unadhani ni kiasi gani kitafaa kwa kuanzia?Milioni 20 ni ndogo,
Sheliving to vifaa vya kufanyia kazzi kama system etc ni kama 7-15M na zaidi kutegemea na aina ya eneo.Mambo ya kodi leseni etc so kwa aufupi jipange kuwekeza zaidi ya hapo .Angalizo.Usiweke supermarket uswazi weka sehemu yenye watu wa middle income
Uswazi hazilipi
Inategemea na location kwa sababu locatio zinazofaa kwa mini supermarket unakuta hata rental yake ni kubwa a pia huwa eneo ni kubwa kwa unahitaji angalau sqm 36 na kuendelea ambazo zinaweza hata kuzidi.Zile shelf za supermarket nazo bei zake ni ndefu bado mafriji,mapambo/branding nafikiri weka budget ya 30m plus na pia utafute watu wanaoweza kusuply vitu on credit/yaani mechandiser ambao wanaweza kukusaidia kushusha operating cost kwa mwanzoni.
Bado baadhi ya sehemu wanaamini kuwa supermarket ni sehemu ya watu wa pesa mingi!!
30m bado sanaaa.Inategemea na location kwa sababu locatio zinazofaa kwa mini supermarket unakuta hata rental yake ni kubwa a pia huwa eneo ni kubwa kwa unahitaji angalau sqm 36 na kuendelea ambazo zinaweza hata kuzidi.Zile shelf za supermarket nazo bei zake ni ndefu bado mafriji,mapambo/branding nafikiri weka budget ya 30m plus na pia utafute watu wanaoweza kusuply vitu on credit/yaani mechandiser ambao wanaweza kukusaidia kushusha operating cost kwa mwanzoni.
Ila kwa uelewa wangu mdogo aim for 30M plus
Wewe anzisha tu, yote utayajuwa ukishaanzisha.Habari wadau? Ni matumaini yangu kwamba hamjambo kabisa.
Nafikiria kuanzisha mini super market hapa mjini. Sasa kikubwa nachoomba kwa wenye uzoefu na uelewa wanipe abcd kidogo kuhusu biashara hii.
mfano;
1. Changamoto zake na uzuri wake
2. Namna bora ya kuiendesha biashara hii
3. Suppliers wa bidhaa za biashara yenyewe n.k
4. Makadirio ya mtaji na ziada. (Ingawa tayari nimejipanga na 20M+)
Tafadhali naomba mawazo mazuri na ya kusaidiana ili tujenge taifa.
Asanteni sana.
~Jodeo ~
Ni kweli ila kama anaweza kupata mechandiser mapamea kwa ajili ya kumpatia bidhaa on post paid basis basi anaweza kusave gharama sana30m bado sanaaa.
Akitoa kodi hapo inashuka mpk 20,
Kwa uzoefu mdogo sana aweke 45-50
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi ulianzisha hii project mzee baba tushare maujuzi na xperiences ulizopitiamimi nimepanga fast food restaurant , vifaaa nimenunua kama 12 million kutoka china sasa hivi natafuta sehemu ya kufungua naona labda ntapata 50000 kwa siku. mawazo yoyote yanakaribishwa
Nina shauku kujuwa njia iliyo rahisi na yenye uaminifu kibiashara niweze kupanua wigo wa kibiashara
Download application ya SARAFU unaagiza wanakuletea bureeeeee kama upo Dar lknNina shauku kujuwa njia iliyo rahisi na yenye uaminifu kibiashara niweze kupanua wigo wa kibiashara