Nafikiria kuandaa Chakula cha usiku kwa wana Chit Chat tujumuike pamoja

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Nadhani kwa wana CHIT-CHAT mliopo hapa dar hii itakua poa sana.

Napanga siku niandae chakula cha usiku, vinywaji pamoja na muziki wana chitchat wote mje tujumuike kama marafiki .

Mnaonaje wazo langu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We toa code number tangaza bar watu wakifika kaunta wanachukua beer kwa kutumia code ,watakuja kukushukuru humu


It is never too late to begin. Start now
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom