Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza mwaka huu, salary basic ni laki 6 hivi, take home kama laki 4 na 90 hivi ,sasa tangu nianze kazi hadi sasa naona kama sipigi hatua kwa maana ya matumizi kwa mwezi, kusaidia wadogo zangu na mambo mhimu yasiyo epukika kifedha yananikabili.
Kama mjuavyo maisha ya Dar hayahitaji lele mama nami nafikiria kuvua tai na suruali ya kitambaa nivae jinzi na T-shirt kupambana nayo.
Sasa kutokana na hilo nimeanza kupata wazo niache kazi mkataba ukiisha nifungue biashara ambapo kwa sasa nafanya utafiti wa aina gani ya biashara naweza kufanya.
Kuhusu mtaji ninauhakika wa kuanza na kama laki 5-6 haipungui hapo.
Sasa naomba mawazo yenu, maana nahofia umri unaenda nguvu zinapungua na maisha yako palepale.
Je wazo langu limekuja muda sahihi au nakosea kuacha kazi?
Je kwa wazoefu huo mtaji unaweza kutosha kuanzisha biashara ndogo/kubwa kama.ya aina gani ?
Naomba kuwasilisha ,tuwe serious guys!