Nafikiria jinsi ambavyo nitaileta hii biashara huko Tanzania

beluwa

Member
Jul 15, 2020
77
78
Hapa Kenya imekuwa too saturated, just like everything else, lakini waliokuwa pioneers walifaidika si haba. Swali ni, sijui kama vifaa vinavotumika kwa ukarabati vinapatikana huko, na importantly, kwa bei inayofaa.

Picha ya mojawapo ya bidhaa muhimu kwa hii kazi 👇

20211129_002950.jpg

Kazi yenyewe👇

Kama kuna vitu hivi nielezeni kama vinatengezwa huko, kuna variations nyingi btw. Kama mtu anajua hivi vitu (rejelea picha) vyauzwa wapi, litakua jambo la manufaa.
 
Kama hakuna, hizi vitu zina very high profit margin, mradi uwe pioneer kwa kazi, nimefuatilia UG, watengezaji ni wachache sana.

Maelezo mengine ni upate resources kwa bei nafuu. Kama mko willing, mimi nitafunza watu kadhaa, as long as resources za hii kazi zipo.

RESOURCES:
-Stickers za large format at price range ya tz ksh 9,600 per meter square
-Plywood, hizi nafkiria bei ni nafuu
-mbao zilizopigwa randa za size ½ inch square
-Resistors, led diodes, diodes, capacitors, thermistors potentiometers, ICs, n.K. Bei yake sio ghali hapa kenya, zinarange between ksh 5( tzsh 100) na ksh 15.

Once mtu amezoea kazi, waweza earn between ksh 2500 (tzsh 50,000) na ksh 4000 (tzsh 80,000) kwa siku biashara ikiwa imara. Sasa hata siku za kazi iliyo na polepole, utakua ulijilipa na kazi ya awali, bora uzembe kando
 
My searching zimenipa hii,

https://tz.loozap.com/led-signs-dar-es-salaam/19742210.html

so sijui logistics kwa ground zikoje, pricing yake pia sijaiamulia vizuri, kwa sababu sijui raw materials kama zina price ya chini kama hapa, if you have suppliers from china

Hio sio shida, one can also source directly from china, unauzia fellow technicians and use some yourself. Hii kazi iko sawa in an open ground, before i-explode kama ilivyo explode hapa kenya kila mtu akaanza kuifanya

EDIT: added link
 
My searching zimenipa hii, so sijui logistics kwa ground zikoje, pricing yake pia sijaiamulia vizuri, kwa sababu sijui raw materials kama zina price ya chini kama hapa, if you have suppliers from china

Hio sio shida, one can also source directly from china, unauzia fellow technicians and use some yourself. Hii kazi iko sawa in an open ground, before i-explode kama ilivyo explode hapa kenya kila mtu akaanza kuifanya

Kwani hayo mabango si yanauzwa Kariakoo kiongozi?

Au yako yana kitu gani tofauti mkuu?
 
Kama hakuna, hizi vitu zina very high profit margin, mradi uwe pioneer kwa kazi, nimefuatilia UG, watengezaji ni wachache sana.

Maelezo mengine ni upate resources kwa bei nafuu. Kama mko willing, mimi nitafunza watu kadhaa, as long as resources za hii kazi zipo.
RESOURCES:
-Stickers za large format at price range ya tz ksh 9,600 per meter square
-Plywood, hizi nafkiria bei ni nafuu
-mbao zilizopigwa randa za size ½ inch square
-Resistors, led diodes, diodes, capacitors, thermistors potentiometers, ICs, n.K. Bei yake sio ghali hapa kenya, zinarange between ksh 5( tzsh 100) na ksh 15.

Once mtu amezoea kazi, waweza earn between ksh 2500 (tzsh 50,000) na ksh 4000 (tzsh 80,000) kwa siku biashara ikiwa imara. Sasa hata siku za kazi iliyo na polepole, utakua ulijilipa na kazi ya awali, bora uzembe kando
Electronic components zipo kariakoo roundabout. Na ni wachache wanauza hizi pia ubungo wapo wanaouza. Ila ni small scale

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Ni zizo hizo
Kwani hayo mabango si yanauzwa Kariakoo kiongozi...?

Au yako yana kitu gani tofauti mkuu...?
Kuna tofauti ya kuuza, na kutengeneza na kuuza. My due diligence ni kuwa components za ordinary electronics shop ni triple, quadruple, etc, the price zenye supplier/direct-from-china shippers huuzia makers wa haya mabango, immensely reducing production cost, and making hizo signs affordable.

Kuna muundaji ako Uganda pia but components anatoa tu Kenya, you know sio kukosa zimekosa kwa maduka huko UG. Bali ni kukata production cost.

You are missing the point about there being an untapped market
 
Kwahyo tunawezaje fanya kazi
 
video ya kwanza na ya pili inanambia izo ni custom led boards ( kwa kuangalia izo home made soldering jobs)

izo parts ( rgb LEDs, controllers, drivers na izo wires ) KKoo zipo, mtaa wa msimbazi na uhuru round about

sema nao wanaagiza China, ukitaka kupunguza gharama hasa, tafuta supplier mmoja kutoka Alibaba akuletee in bulk, bei inakua chini sana

izo strobe effect, ukitaka ziwe tamu, ujue ku program micro controllers/processor kama PICs, ATmega, etc

utatengeneza patterns uipendayo, hii iwake ivi kile kiwake vile, hiki kiwake kwa mda huu, kile kiwake kwa mda ule,
 
video ya kwanza na ya pili inanambia izo ni custom led boards ( kwa kuangalia izo home made soldering jobs)

izo parts (rgb LEDs, controllers, drivers na izo wires ) KKoo zipo, mtaa wa msimbazi na uhuru round about

sema nao wanaagiza China, ukitaka kupunguza gharama hasa, tafuta supplier mmoja kutoka Alibaba akuletee in bulk, bei inakua chini sana

izo strobe effect, ukitaka ziwe tamu, ujue ku program micro controllers/processor kama PICs, ATmega, etc

utatengeneza patterns uipendayo, hii iwake ivi kile kiwake vile, hiki kiwake kwa mda huu, kile kiwake kwa mda ule,
Umenena kaka, nipe links zao, siko around I'm planning to come there, kuprogramu controller sio issue. Importing from china is the most cost-effective method
 
Back
Top Bottom