Nafikiria jinsi ambavyo nitaileta hii biashara huko Tanzania

video ya kwanza na ya pili inanambia izo ni custom led boards ( kwa kuangalia izo home made soldering jobs)

izo parts ( rgb LEDs, controllers, drivers na izo wires ) KKoo zipo, mtaa wa msimbazi na uhuru round about

sema nao wanaagiza China, ukitaka kupunguza gharama hasa, tafuta supplier mmoja kutoka Alibaba akuletee in bulk, bei inakua chini sana

izo strobe effect, ukitaka ziwe tamu, ujue ku program micro controllers/processor kama PICs, ATmega, etc

utatengeneza patterns uipendayo, hii iwake ivi kile kiwake vile, hiki kiwake kwa mda huu, kile kiwake kwa mda ule,
Hizi signs zipo huko?
 
Hivi vitu Tz vipo na tunafanya design na kuimplement pia. Ukija njoo na mawazo ya kucompete sio kwamba huku hii biashara haipo kama ulivyojinasibu hapo juu.
 
Hivi vitu Tz vipo na tunafanya design na kuimplement pia. Ukija njoo na mawazo ya kucompete sio kwamba huku hii biashara haipo kama ulivyojinasibu hapo juu.
Piga pictures, weka hapa, I'd love to see
Watu wafanye kazi aisee.
tunafanya design na kuimplement pia.
Pictures ya vitu umefanya zitatoa mwanga about better ideas, because mimi niko na couple new ideas, hata hapa market ya kenya hazipo
 
Hapa Kenya imekuwa too saturated, just like everything else, lakini waliokuwa pioneers walifaidika si haba. Swali ni, sijui kama vifaa vinavotumika kwa ukarabati vinapatikana huko, na importantly, kwa bei inayofaa.

Picha ya mojawapo ya bidhaa muhimu kwa hii kazi 👇

View attachment 2026677

Kazi yenyewe👇

Kama kuna vitu hivi nielezeni kama vinatengezwa huko, kuna variations nyingi btw. Kama mtu anajua hivi vitu (rejelea picha) vyauzwa wapi, litakua jambo la manufaa.

kenyan mentality...kudhani kuwa iko mbele kwa kila kitu. Nilidhani unaingiza bidhaa mpya kabisa ambayo ndiyo kwanza imeingia kwenye masoko.
 
Yo, you two fellas don't have to comment kama huna something significant to say. Let the interested ones come tujenge pesa!!
 
Yo, you two fellas don't have to comment kama huna something significant to say. Let the interested ones come tujenge pesa!!
Great Idea but kuna ishu moja nahisi huenda ikawa changamoto ktk biashara hii.Unajua hizi siku za karibuni wafanyabiashara wengi hasa wenye maduka wanaogopa kuweka signboards mbele ya maduka yao kwa kuogopa kodi inayotozwa kupitia hilo bango uliloweka.Hiyo kodi huwa inatozwa na mamlaka ya mapato na huwa inatozwa kulingana na ukubwa kwa sqm wa hilo bango,ambapo ukipiga hesabu kwa mwaka unaweza ukajikuta bango dogo tu unalipa 140000 mpk 200000 kwa bango la kawaida tu.
Sasa wazo lako ni zuri ila changamoto iliyopo ni hiyo,kwamba mtu anaweza ukapata wateja wengi ila baadae watakuja kuzinduliwa ghafla na hzo kodi na matokea ni kwamba mwaka unaofuata ndo utakuwa mwisho wa hyo biashara kwasbb watu wote wataona unawaingiza katika jambo la wao kutoa hela badala ya kugain.
 
Hiyo ni changamoto kweli. Same problem in Nairobi cbd.

Ilhali towns ndogo hapa kama Nakuru etc, sijaliskia suala hilo. I'm planning on coming mid-2022, so mimi pia hufanya graphics, itasaidia kutotegemea hilo pekee yake. Pia pengine the smaller towns hazina tashwishi hizo kama mfano nilioutoa. Good insight though.
 
Yes ni kweli small towns hazina hizi tozo hata huku Tz ni hvyo hivyo they ignore small towns and this is your relief.
 
Back
Top Bottom