Nafikiri suala la mgombea kuwa na elimu ya maana, Chadema wangeanzia kwenye majimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafikiri suala la mgombea kuwa na elimu ya maana, Chadema wangeanzia kwenye majimbo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kanyafu Nkanwa, Oct 1, 2010.

 1. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Dk. Slaa awasha moto upya

  ....Naye mgombea wa jimbo hilo (Kilombero), Regia Mtema, alisema endapo watamchagua, atahakikisha wananchi wanapata huduma ya umeme pamoja na kupunguziwa bei ya sukari kwa kuwa mahitaji hayo muhimu yanapatikana katika jimbo hilo. “Ni aibu kuona kiwanda cha sukari na umeme uliopo hapa nchini unapatikana katika mabwawa ya Kihansi na Kidatu ambavyo vyote vipo katika wilaya yetu lakini tunavipata kwa asilimia moja tu!” alisema Mtema.  Kama vingekuwa vinapatikana sehemu nyingine isingekuwa aibu?! Na hiyo sukari utaipunguzaje bei kwa kigezo cha kuzalishwa jimboni kwako?!
   
 2. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #2
  Oct 1, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 158
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mleta mada hii unamatatizo. Hebu nikuulize swali,

  1. Imewezekanaje kodi za kipumbafu kutsopiwa TArime, Karatu na Moshi vijijini enzi za Mrema lyatonga?

  2. Inawezekanaje wafanyakazi wa Tanesco kupewa bei ya umeme tofauti na watumiaji wengine?

  3. inawezekanaje kahawa ya moshi IUZWE GALI ZAIDI MOSHI LAKINI MAREKANI NA ULAYA IUZWE BEI NAFUU?

  4. Imewezekanaje KIGOMA KASKAZINI KUWA NA BARABARA ZA LAMI 93 kms just in 5 yrs katika nusu karne ya uongozi wa CCM?


  Wewe nadhani mawazo yako na ya mjengwa yanafanana. Kitu cha maana unachppaswa kujua "AKIWEPO MTETEZI IMARA WATU WANAOZUNGUKA AU KUISHI KARIBU NA KIWANDA INAWEZEKANA SUKARI KUWA RAHISI kuliko ilivyo. Mbona SUkari hiyo hiyo KILOMBERO IUZWE 2000 per KG wakati Morogoro mjini inauzwa 1600 per kg?
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili si swali la Jiografia darasa la sita mkuu? Ebo, swali rahisi tu je bei ya sukari ya Malawi Karonga (Malawi) ni sh. ngapi, Kyela ni sh. ngapi na Mbeya mjini ni sh ngapi????? Kwa nini kuna tofauti ya bei?

  Kwa nini mabati ya ALAF yanauzwa bei rahisi Dar kuliko Sumbawanga?????????????

  Huu sasa hata kama ni unazi wa CCM muwe na breki kidogo ya kufikiria.
   
 4. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo soda ya Coca ya Mbeya inaiuzwa bei rahisi kuliko Iringa? Na beer ya Safari ni bei rahisi Dar kuliko Singida? Siyo issue ya gograpy ni issues ya supply and demand. Otherwise bei ni moja kote. Tuache pia kusema kabla ya kufikira kwa sababu ya unazi
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona unafananisha maembe na maparachichi, kwamba suala la bei before supply and demand linatengenezwa na expected profit baada ya break even. Profit margin inakuwa affected na mambo mengi mfano bei ya malighafi, usafirishaji wa malighafi na bidhaa yenyewe, usambazaji etc. Hivyo basi Coca Cola na TBL wanasubsdize vitu kama transport na distribution ili isiumize profit margin za ma -agent wao walio mbali na viwanda vyao ndiyo maana utakuta kuna depot ya bia, soda Tukuyu, Singida, Dodoma etc. Na in most cases depot hizo zinaendeshwa na hao hao TBL na Coca Cola.

  Sasa tuje kwenye sukari unaweza kunitajia depot ya sukari Mbeya, Iringa au Mwanza iko wapi? Au unafikiri sukari ni sawa na Vocha za vodacom, Tigo???? Hivi hujui kwamba bei ya kopo la kahawa iliyosagwa Moshi au Kagera ni bei rahisi kuliko Songea?

  Kwa hiyo basi hoja ya mgombea bado ina mashiko!!!!!!

  Hii mnayoita elimu, hao Madr. na maprof wenu wa CCM ndiyo wamefikisha Tanzania hapo ilipo.....
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Kodi na mikwara mingine mingi inaweza kusawazishwa na mambo yakawa swafiiiiiiiiiii kwa kila mtanzania.

  GO DR. SLA GOOOOOOOOOOOOOOO TO IKULU
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu bora kigoma in km 93. Sikia hii

  Mkoa wa Tabora: lami iko tabora mjini tu (si zaidi ya km12) na si barabara zote za mjini na ile barabara kuu iendayo mwanza kupitia igunga na tabora Mkoa wa Rukwa: Barabara za lami zilizopo hazizidi hata km 5.
   
Loading...