Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,799
CCM, CHAMA CHA MAZEZETAZezeta lipo belgium lilihamasisha watu kumbe hawamsapoti!
CCM, CHAMA CHA MAZEZETAZezeta lipo belgium lilihamasisha watu kumbe hawamsapoti!
CCM, CHAMA CHA MAZEZETA
CCM, CHAMA CHA MAZEZETANaona leo umeamka na ulanzi kichwani unadua!
Mkuu usiseme hivyo. Serikali ina nafasi kubwa sana kuhakikisha wananchi wake hawawi exploited.serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
Managapi vyamebarikiwa katikati ya kelele za wananchi?.Wana angalia kama wananchi mpo kimya mnakubaliana na gharama nao wanabariki!
Siyo ya sasa hivi.Mkuu usiseme hivyo. Serikali ina nafasi kubwa sana kuhakikisha wananchi wake hawawi exploited.
Sema "simsapoti" sio hawamsapoti, tupo wafuasi wake wengi, wewe endelea kuitikia NDIO huku bibiako kijijini anakunywa uji wa chumvi, huelewi huna mbele wala nyuma.Zezeta lipo belgium lilihamasisha watu kumbe hawamsapoti!
serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
Mkuu usiseme hivyo. Serikali ina nafasi kubwa sana kuhakikisha wananchi wake hawawi exploited.
Kwel aliewaita mataga hakukosea
Mitano tena!Si kweli watu ni kuamka na kuhamasishana kuigomea huduma kandamizi watarekebisha tu lakini sio kupinga tu kila jambo bila ya sababu hata kama ni la maana!
Wana angalia kama Wananchi mpo kimya mnakubaliana na gharama nao wanabariki!
Ati nini?🙄🙄twitter imekula permanent ban.
Mitano tena