Nafikiri kupanda kwa gharama za mawasiliano kwa Mitandao ya Simu kuna baraka zote za Serikali

Mnalalamika kupanda kwa gharama wakat juzi tu hapa tumefungiwa Twitter sahiv nikituma sms 100 ndani ya lisaa limoja nazuiliwa kutuma tena sms kwa mda wa saa 1 au zaidi ukiwauliza wa mtandao husika jibu ni " NI UTARATIBU MPYA TULIOPEWA NA TCRA"
 
serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
 
si wanatukanwa na kunangwa mitandaoni sasa mnalipia faini za matusi na kuwazodoa..anajua akipunguza ndio matusi yataongezeka akiongeza matusi yayapungua..hujajaribu twitter mpaka vpn leo hiii
 
MITANO TENA! mpaKa Lumumba waombe poo, maana tukisema upande wa pili tunaambiwa tunayatoa kwa MABEBERU...... uzuri gharama hizi wote tunasagika. MITANO TENA!
 
Kwel aliewaita mataga hakukosea
serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
 
Mkuu usiseme hivyo. Serikali ina nafasi kubwa sana kuhakikisha wananchi wake hawawi exploited.

hauwezi kua exploited unless unafanya biashara with an exclusive license, at the moment kila mtu amepewa go ahead kufanya biashara tanzania kwa sheria za kuhakikisha nchi inanufaika kwa mapato na huduma! the rest is all upon you, ni sawa sawa na wanaouza iphone na android. ukipewa exclusive license then you have to play by the rules utakazopewa!
 
Wana angalia kama Wananchi mpo kimya mnakubaliana na gharama nao wanabariki!

Sasa hivi ukiacha kwenye mitandao tena kwa kutumia fake Id, ni wapi unaweza kuthubutu kuhoji upandaji wa bei bila kutekwa? Huko bungeni asilimia 70% wameingia katokana na maagizo ya Magufuli, watahoji nini wakati serikali ndio inachukua hizo hela kwa wizi wa kimfumo?
 
Najiuliza sana au ndiyo tunafosiwa tulishakuwa na kipato cha uchumi. Wa kati
 
Back
Top Bottom