Nafikiri kupanda kwa gharama za mawasiliano kwa Mitandao ya Simu kuna baraka zote za Serikali

Huyu Bwana anapenda Sana kutoza Kodi kuliko kubuni uzalishaji.

Hakuna nchi ikiyowahi endelea kwa kubuni vyanzo vipya vya kupora fedha wananchi kupitia Kodi mpya kwa vyanzo vilevile.Nchi uendelea kwa kuchochea uzalishaji na sio kukazania Kodi mpya kwa watu walewale.
Nguvu yote imewekwa kwenye kukamua pesa lakini hakuna nguvu ya kuwapa Watu ajira.
 
serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
Usilinganisha Mataifa ya kule na huku Africa.
 
Si kweli watu ni kuamka na kuhamasishana kuigomea huduma kandamizi watarekebisha tu lakini sio kupinga tu kila jambo bila ya sababu hata kama ni la maana!
Huduma Kandamizi wakati ni huduma iliyobarikiwa na serikali yako mwenyewe unayoitetea kwa nguvu zote pengine kuliko hata unavyomtetea mama yako mzazi?! Hivi hujiulizi ikiwa hata TTCL nao wamebadili bundle zao, bado tu hupati picha kwamba imekuwa engineered na serikali? Au hujiulizi inakuaje wakati ule ule ilipotangazwa waziri anajadiliana na kampuni za simu kuhusu vifurushi, ndio wakati huo huo vifurushi vikapanda zaidi?!
 
Dai haki yako wacha kua kama Lissu haki anaidai ubelgiji!
Hata mandela na kina Oliver tambor wote walidai haki zao wakiwa ughaibuni.kabila mwenyewe alikuwa dar na akaenda kuwa raisi wa DRc. Yule lucky dube alivyoimba house of exile hukumuelewa? Shida yako una nongwa na Lisu? Ulitaka abaki ili mumuue kikatili kama mlivyofanya kwa kina ben Sanane na wengine?
Mmemkosa
 
Huyu Bwana anapenda Sana kutoza Kodi kuliko kubuni uzalishaji.

Hakuna nchi ikiyowahi endelea kwa kubuni vyanzo vipya vya kupora fedha wananchi kupitia Kodi mpya kwa vyanzo vilevile.Nchi uendelea kwa kuchochea uzalishaji na sio kukazania Kodi mpya kwa watu walewale.
Na utaratibu huu ndio unaua hata kile chanzo kidogo cha mapato kilichopo.
 
serikali ina limits zake katika uendeshji wa biashara binafsi, swala la kampuni inapanga bei gan ipo very way far kabisa na serikali, ni sawa sawa useme biden aamuru iphone wapunguze bei, doesnt make sense
Uko nje ya linaloongelewa au hujalielewa. Biden hawezi kuzuia ughali wa iPhone, ila ataingilia bro ya huduma ya mawasiliano, mfano internet, muda wa maongezi n.k.
Ndio kinachotegemewa serikali ya Tz nayo ifanye. Wananchi wananyonywa na kuteswa na gharama za mawasiliano, ambazo ni sehemu muhimu ya maisha yao ya kila siku.
Ila kwa Tz sishangai, maana serikali yenyewe inawanyima wananchi uhuru wa kujieleza, kukutana. Hivyo kama alivyosema mleta uzi, bei kubwa za huduma za mawasiliano, inasaidia serikali kukusanya kodi kubwa zaidi, nami naongezea, hizi bei ni njia ya kuwafanya wananchi wasiwasiliane kwa kiwango kikubwa ili wazidi kukandamizwa na serikali isiyotaka wananchi wake waongee lolote.
 
hauwezi kua exploited unless unafanya biashara with an exclusive license, at the moment kila mtu amepewa go ahead kufanya biashara tanzania kwa sheria za kuhakikisha nchi inanufaika kwa mapato na huduma! the rest is all upon you, ni sawa sawa na wanaouza iphone na android. ukipewa exclusive license then you have to play by the rules utakazopewa!
Bado serikali ni regulator, hupewi kibali ili kukandamiza wateja, la sivyo kila kitu hakitanunulika.
 
Bado serikali ni regulator, hupewi kibali ili kukandamiza wateja, la sivyo kila kitu hakitanunulika.

prices only reflect your ability to manage the company kutokana na mapato, what makes prices za data kua chini sio serikali but ni competition iliopo na mitandao ni mingi you have a wide variety of choices! mfano kenya gb 1 ni roughly 10,000 tsh ya uku because the main player ni mmoja but sio because the government says about the price!
 
Uko nje ya linaloongelewa au hujalielewa. Biden hawezi kuzuia ughali wa iPhone, ila ataingilia bro ya huduma ya mawasiliano, mfano internet, muda wa maongezi n.k.
Ndio kinachotegemewa serikali ya Tz nayo ifanye. Wananchi wananyonywa na kuteswa na gharama za mawasiliano, ambazo ni sehemu muhimu ya maisha yao ya kila siku.
Ila kwa Tz sishangai, maana serikali yenyewe inawanyima wananchi uhuru wa kujieleza, kukutana. Hivyo kama alivyosema mleta uzi, bei kubwa za huduma za mawasiliano, inasaidia serikali kukusanya kodi kubwa zaidi, nami naongezea, hizi bei ni njia ya kuwafanya wananchi wasiwasiliane kwa kiwango kikubwa ili wazidi kukandamizwa na serikali isiyotaka wananchi wake waongee lolote.
rubbish!!!!! nitajie nchi yenye bei ndogo za inteernet kushinda tanzania africa nzima!
 
Back
Top Bottom