Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

Mtu yeyote anayesema Yesu Hakufa Msalabani na Kufufuka na Kwamba atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu na ufalme wake hautakuwa na Mwisho.
Mbona unaleta vitu vya kufikirika, Kwa mtazamo wako yesu ni nani?
binadamu?
Mungu?
 
Umetoka msikitini kuingia kanisani, ruka toka kikaangoni.....? hahahahaaaaa, toka Cha kiume umeingia Cha......? hahaaaaa, umeruka mkojo umekanyaga......hahahaaaaa
ni heri kuliko wewe umekanyaga mavi na mkojo
tatizo hayakuhusu ila
a2c092d5c4fb43bfece9db92564172fd.jpg
 
Kama hujajibu swali langu linalotupa mwanga kwa kuipiga farubini contradiction, bado hujamalizana nami.

Sema umekimbia swali langu tu.
Mkuu ndiyo maana nimesema hatuelewani,kama hapo umeingiza masuala ya contradiction suala ambalo ni mbali na nilichokuwa nataka tujadili. Najua wewe unataka kujadili imani ya uwepo wa mungu na kwamba ina contradiction wakati mie sikuwa na nia ya kujadili hilo.

Hivyo si sawa kuniambia nimekukimbia.
 
ni heri kuliko wewe umekanyaga mavi na mkojo
tatizo hayakuhusu ila
a2c092d5c4fb43bfece9db92564172fd.jpg
Sikasiriki nafurahi, sema nilipomaliza nikadondokea mtoni, back to the source,Imani asilia ya watu weusi, sisi Makuhani wa kweli, kizazi Cha Mungu watunzaji wa Siri za MIUNGU, ona imani zenu Zina collapse, hamtaki ku accept defeat, mtataka kuteketeza dunia kuthibitisha uongo wenu,your finished, Mungu yuko hapa, imekwisha, na ukiendelea kubishana yatakufika
 
Mkuu ndiyo maana nimesema hatuelewani,kama hapo umeingiza masuala ya contradiction suala ambalo ni mbali na nilichokuwa nataka tujadili. Najua wewe unataka kujadili imani ya uwepo wa mungu na kwamba ina contradiction wakati mie sikuwa na nia ya kujadili hilo.

Hivyo si sawa kuniambia nimekukimbia.
Unakaribishwa kwenye hekalu la ibada asilia
 
Back
Top Bottom