Nafikilia kufungua kampuni ya it........nipeni mawazo yenu kwa mlio na experience na kazi hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafikilia kufungua kampuni ya it........nipeni mawazo yenu kwa mlio na experience na kazi hizi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by C Programming, Jan 31, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Wadau nafiklia kufungua kampuni ya it........jijini dar es salaam ambayo itayoshughulika na vitu vifuatavyo

  1.web designing and web hosting

  2.online databack up

  3.selling of computer software

  4.boot camps computer training

  5.computer maintanance and repair

  6.provision of internet services...............isp

  kwa mlio na experience na kazi hizi au mshawahi kufanya kazi hizi ......naombeni mnifahamishe kazi zake zinalipa
   
 2. e

  erickmuganyizi Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ita kuwa inalipa make ishu ni kupata connection ya watu pamoja na watalaam nami ni moja wapo wa watu wenye fani ya IT na bado natafuta kazi

  0768234559
   
 3. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mkuu ninaunga mkono wazo lako .Mie ni mdau wa IT ila nina mtazamo tofaut kdogo.Kwa nin usifanye ishu ya data base mana kampuni nying bdo znahtaj data treatment kuliko hayo madude ulotaja?
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  mimi sina utaalamu wa database senior member
   
 5. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Usijali kaka cku hz watu wanasajil kampuni wanakuwa naofis then wanaomba kaz kwa njia ya tenda wakipata tu ile kaz inauzwa coz watu kibao hawana kaz hapa.Unaajiri wataalam wanafanya kaz unawalipa chao we unabak na chako.We fungua tu kampuni.Capital yako ni kias gan mkuu?Samahan kwa swal hlo
   
Loading...