Nafazi za kazi jwtz

the galaxy a

Senior Member
Mar 25, 2017
183
110
Habarini, saizi nimetoka kuangalia tbc habari za hivi punde nimeona jwtz wametangaza ajira ila nimeikutia njiani nimemsikia akisema kwa wale waliosomea udactari wawe wamemaliza mafunzo kwa vitendo,kwa mwenye taarifa atujuze kama ni madactari tuu au cource zote?
 
Sijafuatilia hyo hbr Ila itakuw madaktri labda wakiongeza ni engineer na computer specialists hasa upande wa software engineer
 
Rais alisema hataki raia waingie jeshini jwtz wanaenda kinyume na agizo la raisi
 
Hayo hawawezi ingia moja kwa moja mkuu...ni lazima wakapige pre cadet kwanza kama miez mitano hiv .
Rais alisema hataki raia waingie jeshini jwtz wanaenda kinyume na agizo la raisi
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom