LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Ni kweli wanapelekwa uvccm wengi kama walivyofanya Kule ukonga..
Mkosi anao mama yako aliezaa mtoto wa kikopo ambae ni weweHuyu Maguguli ni wa kumuondoa haraka. Kaleta mkosi nchini
Hiyo mbona haitaki tochi! Wewe ushatowa habari achana nao hawa vikaragosi. Kama wanataka maelezo zaidi basi wakubali mdahalo.Nimekwambia kuwa nimepata habari from "realiable source" inaniambia kuwa lile tangazo la NEC, ni "bortion" tu, wakati mpango umesukwa ndani ya NEC, ya kuwaleta wakereketwa wa CCM pekee, kushika nafasi hizo za kusimamia chaguzi hizo!
Huu ubaguzi unaoendelea nchini, wa ili upate kazi, inabidi utoke chama cha mbogamboga, hakika unakwenda liangamiza Taifa hiliHili ndilo linalotokea katika nchi hii..kama wewe sio mchama lao hata kama una sifa zote hatapata kazi. Mfano wakurugemzi ambao kigezo zamani ilikua usomi na utaalam wa mtu sasa hivi uchama ndy kigezo kikuuu..hii ni Habari mbaya kw sisi na wale waliosoma lakn hawana vyama. Mfumo huu usipofumuliwa kuna ubaguzi mbaya unaenda tokea siku za mbele.!!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wacha umbea bibi.huyu ufipa tu.mim nilikua ufipa nimemkana
HahahaWatakuwa makafara ya ushindi wa CCM,Tundu lissu ameshasema mwaka huu hakuna utani,unasimamia uchaguzi harafu unafanya madudu ujue wananchi hawatavumilia hila ,watagawana nyama kisha unachemshwa watu wanakula na kunywa supu.
Kumbuka kuna maisha baada ya uchaguzi. Utakuja kuyarudia haya maneno yanguWatakuwa makafara ya ushindi wa CCM, Tundu lissu ameshasema mwaka huu hakuna utani,unasimamia uchaguzi harafu unafanya madudu ujue wananchi hawatavumilia hila, watagawana nyama kisha unachemshwa watu wanakula na kunywa supu.
Huo ni umbea wa kutafuta hurumaa ili wewe utengeneze kiki zako. Hovyo kabisa nyieeNimekwambia kuwa nimepata habari from "realiable source" inaniambia kuwa lile tangazo la NEC, ni "bortion" tu, wakati mpango umesukwa ndani ya NEC, ya kuwaleta wakereketwa wa CCM pekee, kushika nafasi hizo za kusimamia chaguzi hizo!
Kumbe ndio maana niliona mahali fulani jiwe anasema wawape kura madiwani na wabunge wa ccm maana yeye hata wasipomchagua atashinda tu.Zimetolewa hadharani kwa kila mtanzania mwenye sifa, aombe nafasi hizo za muda za kusimamia uchaguzi hapo October 28 mwaka huu, lakini taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa nafasi hizo muhimu, ambazo ni za watanzania wote, bila kujali itikadi zetu za kisiasa, hivi sasa hawa CCM, wamepanga kuwaweka makada wao wa CCM!
Mpango wa siri ulioandaliwa ni kuwa wajumbe wa CCM wa matawi mbalimvali nchini, wamepenyezewa taarifa za wao ndiyo wawalete hao makada wa CCM, ili wapitishwe!
Kwa maana nyingine ni kuwa ingawa hizo nafasi zimetangazwa "publically" lakini hakuna atakayeomba hata mmoja, ambaye hafahamiki itikadi yake, atakayepewa nafasi hizo, Bali hizo nafasi zimetengwa maalum kwa makada wa CCM pekee, ambao ndiyo watakaoonekana kiwa wame-qualify na kupewa nafasi hizo
Inaonekana dhahiri kuwa kwa mpango huo "mchafu" uliopangwa na hao NEC, ni kuwa wana mpango wa kuuvuruga uchaguzi huu
MUMEANZA KUTAPATAPAA NA MIPROPAGANDA YENU, UMEONA HILO TANGAZO LINAZUNGUMZIA WANACCM?? HII NI KWA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA WATAPATA, TANGAZO NI LA NEC SIO CCM JAMANIII.