Nafasi zisizo na idadi zatangazwa Jeshi la Magereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi zisizo na idadi zatangazwa Jeshi la Magereza

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bakuza, Apr 16, 2012.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nafasi ambazo hazikuwekewa idadi ktk jeshi la Magereza zimetangazwa leo ktk gazeti la Daily News.NAFASI HIZI NI KWA VIWANGO VYA ELIMU kuanzia Degree hadi waliomaliza kidato cha nne kwa kwa kupata div. iv ya point zozote.Kwa habari zaidi mtafute mwenye gazeti hilo la leo upate data zote au mwenye Muda aweke tangazo hilo hapa.
   
 2. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani mwenye hilo tangazo tunaliomba,maana wengine hata gazeti kununua ni ishu,hali ni mbaya sana wandugu
   
 3. kibakiking

  kibakiking Senior Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani wakauu hata mm nilikuwa naatafuta hilo gazeti mwenye information please
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wenye nazo wataleta tuuu,kuwa na subira
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  General qualification
  -completion of education should be between the year 2009 and 2011
  -certificate of medical fitness by recognized Government M.O
  >free from criminal Record
  >Active,healthy and good conduct.

  SPECIFIC REQUIRED QUALIFICATIONS
  (a) GRADUATE
  Holders of Bachelors Degree/A.Diploma from recognized Higher learning Institutions in One of the following professions.
  *Architects
  *Civil Eng.
  *Water Eng.
  *Q.surveying
  *Irrigation
  *Agriculture
  *Forestry
  *M.O/Ass.M.O
  Age Not below 18 years and not above 33 yrs old.

  NON-GRADUATE(Age 18 not below and Not above 25)
  (1)Holders of Diplom from any recognized institution in the following specialitie;

  Clinical officers
  Nursing Grade A
  Agriculture
  Irrigation
  Poultry
  Agro Mechanizati
  Electrical Technician
  Electronics and T.E

  (ii)Holders of certificates,Trade Test Grade One/CBET level III FROM any Government Recognized Institutions in the Following specialities
  Tailoring
  Carpentry
  Bamboo making
  Salt making
  Embroidery
  Welding and Metal fabrication
  Soup making
  Handcraft making
  Agriculture
  Nurse Grade B
  Masonry

  (III) FORM FOUR WHO SCORED DIVISION FOUR

  Mode of Application
  (.a) all graduates and Non Graduate the application through.
  CGP
  PRISONS HEADQ
  BOX 9190
  DAR.

  All Applications form four should be addr to the respective Regional Prisons Officers U.F.S Officer In Charge of the Nearest Prisons.
  Deadline 15 May 2012.
  Nimeweka vitu muhimu tu,kuna vigezo vya Urefu.
  MALE -AWE 170.2 CM AU 5 FEET AND 4 INCHES.

  FEMALE-167.7CM OR 5FEE AND 4 INCHES
  Over
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo tunaongeza idadi ya watu wanaofungwa, which is sad.

  Ningefurahi kuona idadi ya walimu au madaktari/ manesi inaongezeka.

  All they build is prison, prison, prison....
   
 7. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 607
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  dah wakulu tunaomba muendelee kushusha details inamaana watu wa social sciences au mabiashara hatuna nafasi?
   
 8. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naona watu wa social science na biashara hapo tunaendelea kusugua benchi
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wameamua kufanya replacement ya wazee wanaostaafu kwa kuweka vijana wasomi, watakaoendesha magereza kisasa. Tatizo la wasiosoma wanakuwa very manual na kunuia mateso. Huwa najiuliza magereza kwa nini iwe na kunguni? Wanashindwa kununua dawa na mabomba na kuwapa kazi wafungwa ya kupulizia?
   
 10. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  2nashukuru wakuu endeleeni ku2pa habr cc wa2 wa vjjn.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  Duh!ce wakina bcom ndo imekula kwetu.
   
 12. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na bado jwtz watakuja na sera hiyo hiyo ya science only,hay ni mauaji wajamen
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  hawa wanataka watu waanze kuwa wezi huko kitaa.
   
 14. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nashangaa hawajaweka mambo ya counseling...those wafungwa needs counseling kuliko msosi jamani.
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  scale ya mshahara kwa graduate ikoje? as an architect nataka niombe.
   
 16. Tugutuke

  Tugutuke JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Dah! Mimi mwenyewe nataka nikaombe nafasi,lakini hata sijui ofice zake ziko wapi! Au je tunatuma maombi kwa Kiswahili au Kingereza? Na hakuna njia nyingine ya kutuma maombi mpaka utume kwa njia ya posta?
  Msaada plz.
   
 17. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Hivi kule nako kuna usomi? Unaweza kwenda kulea wafungwa in the mid if the bush...you create your own small world!
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  oya we architect,umekosa kazi huko kitaa hadi ukakimbizane na wafungwa huko gerezani?
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,191
  Trophy Points: 280
  Ushaisikia mentality ya Sumaye ya "Gereza si Sheraton"? Ukiielewa hii utajua kwamba wale kunguni wanaweza kuondolewa kirahisi tu, wanaachwa pale kama sehemu ya mafunzo ya gereza.

  Primitive!
   
 20. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Sumaye naye, Kule kwa wachaga alisema...""Ukitaka biashara yako iwe na faida/iendelee basi jiunge/saidia CCM""
   
Loading...