majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini UDOM watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii

wanajamvi naomba kwa mwenye taarifa anijulishe ni lini udom watatangaza nafasi za kazi kwa upande wa teaching staff? Ninashauku sana ya kulitumikia taifa langu katika kazi hii
ww profesa mlacha?
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.kwan mpaka udom tu??
ww profesa mlacha?
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua.KWAN MPAKA UDOM TU??
waliopo wanatosha hata wengine tunataka kuwatimua